Nyamisangura
Member
- Jan 4, 2018
- 87
- 107
Mtoto wangu ana miezi 10 huwa kama nikijaribu kucheza na mke wangu yaani tuna pretend kupigana ngumi au makofi basi mtoto wangu analia kweli, akitulia bado nikiwa najifanya kumpiga mke wangu mtoto analia anakuwa anagalagala kwa uchungu analia.
NOTE: Huwa hatupigani kiukweli ila huwa tuna pima reaction ya mtoto.
Huwa najiuliza sana.
NOTE: Huwa hatupigani kiukweli ila huwa tuna pima reaction ya mtoto.
Huwa najiuliza sana.