Hili sio utaalamu wa radi ni sauti.Pole mkuu, kulikuwa na wataalamu wa radi humu sijui waliishia wapi, may be hawajaamka
sound waves yanasafiri kwa ku push air molecules, ambazo ni maada pia,Mawimbi ya sauti yanawezaje kusababisha vibrations kali kiasi hicho cha vioo kujibamiza?
Hiyo sauti uliyoisikia siyo radi yenyewe, ni matokeo ya radi. Chaji hasi na chanya zimekutana na kugongana, na baada ya hapo ndiyo sauti ikatokea. Chaji zilizogongana zimesababisha uwepo wa mechanical energy, pamoja na sound energy. Kwa hiyo kilichosababisha mtikisiko ni ule mgongano wa chaji hasi na chanya na siyo mwanga au sauti uliyoisikiaKuna radi kali sana imemulika hapa mjini Morogoro muda huu, ikafuatiwa na mlio mkali wenye kushitua kama bomu, sauti hiyo kali imetikisa madirisha makabati nk.
Swali:
Mawimbi ya sauti yanawezaje kusababisha vibrations kali kiasi hicho cha vioo kujibamiza?
Hapa ndipo natamani sana kupaelewa kwakuwa nime relate na siku moja walipita CUF na maspika makubwa wanafanya kampeni, sisi tulikuwa kama mita 80 toka barabarani na tulikuwa kwenye gari lakini tulisikia mtikisiko kutokana na sauti zile kali na kishindo cha muzikiChaji zilizogongana zimesababisha uwepo wa mechanical energy, pamoja na sound energy. Kwa hiyo kilichosababisha mtikisiko ni ule mgongano wa chaji hasi na chanya na siyo mwanga au sauti uliyoisikia
Nadhani kinachotokea hapa ni conversion tu ya energy from sound to Mechanical energy. Kumbuka kuwa energy can be converted from one form into another. Anayefahamu zaidi kuhusu namna spika zinavyofanya kazi anaweza kusaidia zaidi katika hili.Hapa ndipo natamani sana kupaelewa kwakuwa nime relate na siku moja walipita CUF na maspika makubwa wanafanya kampeni, sisi tulikuwa kama mita 80 toka barabarani na tulikuwa kwenye gari lakini tulisikia mtikisiko kutokana na sauti zile kali na kishindo cha muziki
Asante sana MkuuNadhani kinachotokea hapa ni conversion tu ya energy from sound to Mechanical energy. Kumbuka kuwa energy can be converted from one form into another. Anayefahamu zaidi kuhusu namna spika zinavyofanya kazi anaweza kusaidia zaidi katika hili.