pilikapilika2013
Member
- May 19, 2023
- 20
- 34
Naomba kujua kama mtu aliomba mkopo then katika mkataba yule mtoa mkopo hakuweka kipengele cha "madhumuni ya mkopo",je ikitokea shida mbele ya safari yupi anafaidika mkienda mahakamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama haujaelewa ni heri kukaa kimya kuliko kuleta ujuaji usio na faida na mwisho ni kuonekana mweupe kick kichwani,Mkuu lipa deni la watu usitafute excuse
Kisheria unapaswa kulipa deni kulingana na mkataba
Habari ya madhumuni ya mkopo ingekuwa muhimu ingewekwa kwenye masharti ya mkopo wenu
Uwezo wako w kufikili ndo ulipoishia,km haujui sheria n heri ukae kimya,si lazima u uchangie kila kitu?Kwamba kwa kuwa hajaweka dhumuni la mkopo ndicho kigezo cha kukwepa deni?
Labda ungeniambia kwamba mkopeshaji hana uwezo wa kisheria wa kukukopesha.
Lipa deni la watu haloo!
Kwani ulikopa benki, kikoba, mtu binafsi, chupi mkononi au kausha damu?
Sasa kama unajua sheria ni kwanini unatusumbua?Uwezo wako w kufikili ndo ulipoishia,km haujui sheria n heri ukae kimya,si lazima u uchangie kila kitu?
Inategemea shida inatokea kwenye suala gani? mfano;Naomba kujua kama mtu aliomba mkopo then katika mkataba yule mtoa mkopo hakuweka kipengele cha "madhumuni ya mkopo",je ikitokea shida mbele ya safari yupi anafaidika mkienda mahakamani?
Tatizo akiambiwa ukweli anakasirikaUmekopa umeenda kuhonga au biashara imefilisika, no matter what, mkopo utaulipa kwa hiari au kwa shurti
Mm ndo niliomba mkopo lkn sikupewa mkopo huo,hadi bank wakaanza kunikata kwenye mkopo bila kuwa wamenipa mkopo,sasa nilikuwa napatiwa ushauri na mdau ndo akaniuliza kuhusu kipengere cha dhumuni la mkopo ili anisaidie namna ya kudai fidia,mm nikamjibu kuwa ktk mkataba ule sikuona kipengere cha dhumuni la mkopo,,,ndo maana nikaona nitafte msaada pengine kwa ufafanuzi na si vinginevyoInategemea shida inatokea kwenye suala gani? mfano;
1: Mkopo kutumika kwa shughuli ambazo hazikuwa katika mkataba?
2: Ucheleweshaji wa marejesho?
3: Kutokulipwa kwa mkopo?
Nafikiri kupitia baadhi mifano hapo juu ndio inaweza kutoa mwanga wa namna bora ya kutoa ushauri katika tatizo lako
Kwamba kwa kuwa hajaweka dhumuni la mkopo ndicho kigezo cha kukwepa deni?
Labda ungeniambia kwamba mkopeshaji hana uwezo wa kisheria wa kukukopesha.
Lipa deni la watu haloo!
Kwani ulikopa benki, kikoba, mtu binafsi, chupi mkononi au kausha damu?
kwa maelezo yako hapa, unachodai wewe ni kukatwa pesa kwa ajili ya marejesho ya mkopo ambao hujapata"huwezi lipa ambacho hujapokea".Mm ndo niliomba mkopo lkn sikupewa mkopo huo,hadi bank wakaanza kunikata kwenye mkopo bila kuwa wamenipa mkopo,sasa nilikuwa napatiwa ushauri na mdau ndo akaniuliza kuhusu kipengere cha dhumuni la mkopo ili anisaidie namna ya kudai fidia,mm nikamjibu kuwa ktk mkataba ule sikuona kipengere cha dhumuni la mkopo,,,ndo maana nikaona nitafte msaada pengine kwa ufafanuzi na si vinginevyo
Dhumuni la Mkopo analijua Mkopaji,hata kama atakwenda olea mke wa pili, hilo halimuhusu mkopeshaji! Lipa deni achaa visingizio!! Hii imeenda!!Naomba kujua kama mtu aliomba mkopo then katika mkataba yule mtoa mkopo hakuweka kipengele cha "madhumuni ya mkopo",je ikitokea shida mbele ya safari yupi anafaidika mkienda mahakamani?
Dhumuni la Mkopo analijua Mkopaji,hata kama atakwenda olea mke wa pili, hilo halimuhusu mkopeshaji! Lipa deni achaa visingizio!! Hii imeenda!!
Tatizo la mbongo ana sign mkataba wa mkopo kabla hajausoma,na Bank walivyo wahuni wanakwita siku hiyo hiyo wanakupa mkataba usaini hapo hapo wakati wanajua kabisa huo muda ni mdogo sana na huwezi pitia krassa zote ,zaidi utaangalia mshiko umewekewa ngapi na kwa mwezi wanakata ngapi,basi wwe faster unaanguka sign yako! Sasa yakitokea ya kutokea huko mbele,bank wanakuambia rejea mkataba wako kwanza alafu ndiyo uje tena!!!Duh,lakini kwa miezi kadhaa sasa kumekuwa na malalamiko mingi Sana katika Taasisi hizi za kifedha(Benki) katika mikopo,nafikiri pia ni wakati was mkopaji na mkopeshaji kujitathimini kwanza
Kama haujaelewa ni heri kukaa kimya kuliko kuleta ujuaji usio na faida na mwisho ni kuonekana mweupe kick kichwani,
Malengo ya mkopo siyo kigezo sana, kikubwa ulikopa hivyo rudisha. Hata kama ulitumia kunywa gongo hiyo ni juu yako.Naomba kujua kama mtu aliomba mkopo then katika mkataba yule mtoa mkopo hakuweka kipengele cha "madhumuni ya mkopo",je ikitokea shida mbele ya safari yupi anafaidika mkienda mahakamani?