pilikapilika2013
Member
- May 19, 2023
- 20
- 34
Andaa mchepuko au kahaba wa maana atakayekusaidia kutafuna huo mkopo! Ukifanyahivyo mbona mkopo unatoka faster?Naomba kufamaham kuwa kisheria inakuwa vp km afisa utumishi ameidhinisha maombi ya mkopo wangu kutoka Benki na Benki hawajaniwekea fedha ktk akaunti.
Je, naweza nikawashtaki na wakapatikana na hatia?
Jamiiforum rahaa sana! Haahaahaa!Andaa mchepuko au kahaba wa maana atakayekusaidia kutafuna huo mkopo! Ukifanyahivyo mbona mkopo unatoka faster?
Asante mkuuKama wamekata pesa yako bila kukuwekea mkopo washtaki.
Imepita muda gani toka maombi ya mkopo kuidhinishwa?je tayari makato ya mkopo husika yameshaanza kutekelezwa?nafikiri pia ni vyema kufuatilia kwa taasisi husika ya kifedha kujua tatizo liko wapi au kupata taarifa zaidi ya tatizo lako kabla ya kuanza kufuatilia kisheria.Naomba kufamaham kuwa kisheria inakuwa vp km afisa utumishi ameidhinisha maombi ya mkopo wangu kutoka Benki na Benki hawajaniwekea fedha ktk akaunti.
Je, naweza nikawashtaki na wakapatikana na hatia?