kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,390
- 1,431
Kuna mwandishi mmoja ameelezea suala la saga la Faisal hivi.....
Feisal Salum kama katekeleza kipengele cha kununua mkataba wake hilo halina shaka linawezekana duniani kote, lakini inasalia Azam ...
Tamko la Yanga na post ya Simon Mwanasheria wa Yanga linapotosha kuwa kilichofanyika sio sahihi, ni kama watu walio katika denial hawajui nini cha kufanya juu ya sakata hili wakitegemea wanaweza kupindua meza kihuni kwa kumshawishi Fei toto pesa sawa na ya Azam ili abaki Yanga, very unprofessional.Maelezo yako yanelekea kueleweka lakini unaposema viongozi wa Yanga wanapotosha je ni kiongozi gani umeona kapotosha? Au umeamua kutupa lawama tu?
kwa ujanja ujanja wao sidhani kama wanamikataba standard kiasi hichoHuyu alikuwepo kipindi kile akagalagazwa na Morrison,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hana cha usomi wala nini
Barua yake umeisoma?? Amesema Kuterminate mkataba wake, sheria na vifungu vilivyopo kwenye kuuvunja mkataba ni tofauti na vifungu vya kuununua mkataba huo.Hiyo 100M na mshahara wa miezi 3 Yanga ndio walioweka mkuu, Feisal yeye katimiza tu matakwa
Tamko linapotoposha nini? Weka mkataba wa Fei hapa tuusome.Tamko la Yanga na post ya Simon Mwanasheria wa Yanga linapotosha kuwa kilichofanyika sio sahihi, ni kama watu walio katika denial hawajui nini cha kufanya juu ya sakata hili wakitegemea wanaweza kupindua meza kihuni kwa kumshawishi Fei toto pesa sawa na ya Azam ili abaki Yanga, very unprofessional.