Wataalamu wa simu ipi kali kati ya One Plus 8 Pro na Oppo Find X2 Pro

Wataalamu wa simu ipi kali kati ya One Plus 8 Pro na Oppo Find X2 Pro

Kwenye camera labda uwe unaongelea one plus 8 ya kawaida sio Pro. Oneplus 8 pro camera imeizidi mbali sana OP 7. Hebu anagalia vizuri hizo reviews usichanganye za oneplus 8 na oneplus 8 pro


Nimeangalia camera samples ,hizi simu hazina tofaut kubwa sana hata kweny camera...

Oppo naona kweny zooming imezid oneplus kidogo...

Hzi simu zote ziko decent tu....hata camera specs almost the same

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OnePlus na oppo ni kampuni moja matoleo yake hayana tofauti sana ni kama Tecno na Infinix
 
Katika cm zote ZA kichina cm ambayo ni durableni huawei tu nyngine zote ni utopolo tu
 
Back
Top Bottom