Kwenye camera labda uwe unaongelea one plus 8 ya kawaida sio Pro. Oneplus 8 pro camera imeizidi mbali sana OP 7. Hebu anagalia vizuri hizo reviews usichanganye za oneplus 8 na oneplus 8 pro
Kwa hiyo waliotengeneza pro na plain hawana maana??Chukua oneplus 8 plain ni nzuri haina tofauti sana na pro kwa uta save fedha kama 500 hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei ya one plus 8
Chukua oneplus 8 plain ni nzuri haina tofauti sana na pro kwa uta save fedha kama 500 hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia kwenye website ya kampuni husikabei gani na wapi mkuu?
Katika cm zote ZA kichina cm ambayo ni durableni huawei tu nyngine zote ni utopolo tu