Wataalamu wa Softwares za Laptop tusaidiane

Wataalamu wa Softwares za Laptop tusaidiane

D___________Loy

Senior Member
Joined
Jan 21, 2020
Posts
168
Reaction score
146
Habari wana jamvi,

Mimi natumia Microsoft Office 2016 kwa sababu ya shida. Pia ni mpenzi wa kutumia Outlook kwenye mambo yangu binafsi. Ni mwezi sasa nimesitishiwa huduma ya login to Outlook mail kwa sababu nisizozifahamu. Kila nikijaribu nakutana na mambo yafuatayo

1. Disconnected
2. Outlook need updates or update Outlook verison 365.

Binafsi bundle la kutosha lipo ila jamaa wamenizuia kupata huduma. Naomba msaada kwa wale wenye uwezo wa sniffing na hucking niendelee na huduma hiyo. Naumia sana kukosa Outlook mail hasa ile ya offline.

1D26D78E-5756-420F-B712-5B6608CE0A1B.jpeg
 
Uki log katika application nyingine nje ya yao huwa wanajua na kuifanya kutofanyakazi mpaka utapo sign out kule na kufuata hatua za kiulinzi wa akaunti yako.Au vinginevyo update na ubadili password yaweza kuwa ni solution
 
Nimejaribu sana
Uki log katika application nyingine nje ya yao huwa wanajua na kuifanya kutofanyakazi mpaka utapo sign out kule na kufuata hatua za kuulinzi wa akaunti yako.Au vinginevyo update na ubadili password yaweza kuwa ni solution
Natumia laptop hii. Tatizo naona wanataka niwe na New Version of Microsoft office. Huku nilipo ni changamoto wengi wanatumia 2010 na 2013. Kama unaweza pata site ya kudown load activated Microsoft office hata 2019 nisaidie ndugu.
 
0679048140 whatsap nikusaidie
 
Back
Top Bottom