Usijali. Watakuja wajuziDaah sijaelewa hata kiduchu.
All the best.
Huyo dogo bado anapiga picha nyumba za watu akisema amewanunulia wazazi wake?Sasa dogo hiyo $8 haitoshi kulipa transaction fees,ethereum blockchain kwa sasa tumewaachia matajiri akina Ontario wenye $$$ za kutosha
Ninazo token nyingi Sana siyo mojaSasa dogo hiyo $8 haitoshi kulipa transaction fees,ethereum blockchain kwa sasa tumewaachia matajiri akina Ontario wenye $$$ za kutosha
Dogo kwa sasa sio mwenzakoHuyo dogo bado anapiga picha nyumba za watu akisema amewanunulia wazazi wake?
OK saws,kwahiyo unataka kuyengeneza Dapp au unataka kuzitumia kufanya manunuzi maana naona kama vile huelewekiNinazo token nyingi Sana siyo moja
Nakubali kwa 100%,maana Sina guts za kupiga picha nyumba ya watu na kusema nimewanunulia wazazi hio nyumba,halafu nikaambiwa oyaa acha ku post nyumba ya wazee wangu na akafuta fasta.Dogo kwa sasa sio mwenzako
Kufanya manunuzi moja kwa moja kutoka Metamask haiwezekani. Nadhani inatakiwa Dapp ambayo italipa in terms of $OK
OK saws,kwahiyo unataka kuyengeneza Dapp au unataka kuzitumia kufanya manunuzi maana naona kama vile hueleweki
Kama vipi pita humu mkuuSalamu wakuu.
Nina tokens (ERC20 token) kwenye wallet ya Metamask na zinaonyesha thamani ya wastani wa $8 kwa token lakini kwenye etherscan inaonyesha $0. Kuna namna ya kutengeneza Dapp ambayo itaunganishwa (integrate) na Metamask na kuweza kuzitumia hizi tokens for online payment
Nashukuru mkuu. Kuna developer ananisaidia hii process ngoja nimpe hizo linksKama vipi pita humu mkuu
Sample dapp
Create A Simple Dapp | MetaMask Docs
Developer documentation for the MetaMask Ethereum walletdocs.metamask.io
Fanya transactions
Sending Transactions | MetaMask Docs
Developer documentation for the MetaMask Ethereum walletdocs.metamask.io
Other helpful Api link
GitHub - bulktokensending/bulktokensending: This DApp can help you in the conducting Airdrop on Ethereum network via mass sender, multi sender, bulk token sending features. https://bulktokensending.site
This DApp can help you in the conducting Airdrop on Ethereum network via mass sender, multi sender, bulk token sending features. https://bulktokensending.site - bulktokensending/bulktokensendinggithub.com GitHub - ico-busses/token-transfer-dapp: Easy and optimized erc20 token transfer dapp; A decentralized dapp, to make quick ERC20, enabled tokens transfer https://ttd.icobusses.io/
Easy and optimized erc20 token transfer dapp; A decentralized dapp, to make quick ERC20, enabled tokens transfer https://ttd.icobusses.io/ - ico-busses/token-transfer-dappgithub.com
Sijui kama nimeelewa
PoaNashukuru mkuu. Kuna developer ananisaidia hii process ngoja nimpe hizo links