Wataalamu wa Tiba Mbadala walinipima wakaniambia sina ugonjwa ila nina upungufu wa nguvu za kiume

Wataalamu wa Tiba Mbadala walinipima wakaniambia sina ugonjwa ila nina upungufu wa nguvu za kiume

Mondela

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2021
Posts
2,567
Reaction score
3,777
Habari wakuu?

Samahani, kiukweli mimi huwa nasumbiliwa na ugonjwa nisio ufaham ambapo kila baada ya miezi kadhaa naugua ugonjwa dizaini ya malaria na huu ugonjwa umenianza tangu nina almost miaka 5. Na kila Hospital ninayoenda kupima naambiwa sina ugonjwa (Kuhusu hili unaweza nipa ushauri).

Siku moja niliona isiwe kesi acha niende Harbal Clinic nikaenda kupima huku nikipewa kifaa fulani nikishike alafu wao wanaangalia kwenye laptop, eee bwana eee si wakaanza kuniambia huna tatizo lolote labda una upungufu wa nguvu za kiume.

Kiukweli mimi najitambua nauwezo wa kupiga show nikamwaga na nikaunganisha mazima kukiwakisha mpaka nitakapo tupa wazungu, ninauwezo wa kusimamia show usiku kucha mpaka nilisha wahi kukimbiza madem wawili gheto huku wakisahau nguo za ndani yaani huwa nikikiwakisha ni show show tuu.

Mwisho wasiku wakaniambia dawa ni 200000 aisee nilitoka nduki na nikajisemea rohoni huyu hajui show ambazo huwa nazipiga ni show za kimataifa alafu aje achukue 200000 kizembe.

Wakuu hivi kwa show ninazo zipiga za usiku kucha alafu mashine hailali hovyo nitakuwa na huo upungufu wa nguvu za kiume?
 
Sema mleta mada unaonekana ni MWENDOKASI/MJUAJI alafu ukakutana na MPIGAJI(Uyo muuza dawa) basi ilikua kama VITA ya Mrusi na Ukraine enewei ugonjwa kama malaria na ambao haouneshi vipimo kama unamalaria,Typhoid n.k

Mara nyingi aya yanakua magonjwa yasioambukizwa mfano itakua unaugonjwa wa Neva(nervous system) ambayo inasababisha maumivu ya kichwa (dimentia n.k) sasa nenda kapime advance diagnosis techniques kama vile CT scan,MRI,ultra sound n.k
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Jaribu kuanza mazoezi mdogo mdogo kwa kipindi cha miezi mitatu
 
Huo ugonjwa dizain ya Malaria ndio upoje?
Mkuu we acha tu duniani kunamatatizo, yaani huwa napata ugonjwa kila baada ya miezi miwili au mitatu huwa naugua ugonjwa ambao napata maumivu kwenye viungo, mwili unaishiwa nguvu yaani nanyong'onyea balaa ni dizain ya dalili za malaria na kupona huwa mpaka nimeze Alu ndio linapungua angalau, nimesha zunguka hospitali nyingi napima lakini sioni tatizo lolote, na mwaka jana nilienda Dar kuna Hospitali moja ipo Mbezi pale nilienda kupima wakaniambia hamna tatizo lolote we acha tu.
 
Pia Una husiana vipi na nguvu za kiume hadi wamwambie ivyo. mwandishi katuficha kitu .
Huo ugonjwa unao nisumbua ndio ulinifanya nifike kwenye hiyo Harbal klinik nipime huenda ningejua tatizo, lakini nikaambiwa sina tatizo lolote sema tu ninaupungufu wa nguvu za kiume.
 
Habari wakuu?

Samahani, kiukweli mimi huwa nasumbiliwa na ugonjwa nisio ufaham ambapo kila baada ya miezi kadhaa naugua ugonjwa dizaini ya malaria na huu ugonjwa umenianza tangu nina almost miaka 5. Na kila Hospital ninayoenda kupima naambiwa sina ugonjwa (Kuhusu hili unaweza nipa ushauri).
🤣🤣🤣 Siku hizi wataalam wamekuwa wengi kwakweli.
Mimi mwenyewe niko nasoma tutorials za youtube soon ntakuwa dr wa tiba.

Ila siku hizi madr waongo, kuna mtoto wa rafiiki yangu anasoma na mwanangu so anaishi hapa kwangu kwa muda. Kaumwa since saturday, wakampeleka Rabninsia hawaoni shida sema akapeea dawa jana kakazidiwa wakakapeleka hspital gani sijui huko posta.
Walivyorudi eti dr amemgonga gonga tumbo akasema anaumwa kisa shuleni hashibi.

Kwakweli hilo jibu sijakubaliana nalo. Hata kama itakuwa kweli lakini anaondoka hapa kala bfast, na wakati anaondoka anaondoka na bites na juice, shule wanapewa chai na vtafunwa na saa saba chakula, saa tsa asharudi na akifika akaoga bado atakuta chai na vitafunwa, hapo saa mbili usku anakula tena.

Sasa najiuliza kama ingekuwa hivyo watoto wa shule za serikali si wangekufa kabisa. Hospital wakikosa ugonjwa wanakupiga sound
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Siku hizi wataalam wamekuwa wengi kwakweli.
Mimi mwenyewe niko nasoma tutorials za youtube soon ntakuwa dr wa tiba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] au ndio wewe umenipigia sim na kuniambia napiga sim kutoka vodacom [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] au ndio wewe umenipigia sim na kuniambia napiga sim kutoka vodacom [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha hapana mimi nikimaliza tutorials naanza jitangaza dr niliyesoma nje maana mkisikia nje tu mnakuja. Natibu nguvu za kiune na yale magonjwa sugu 🤣🤣
 
biashara kazini,



hivi nguvu za kiume ndo zipoje?

mtu unamwita demu ako mnasex kwenye chumba na kitanda cha utotoni mlichogombaniana na kaka, dada zako hamu itakuja?

chumba matandiko ya mwaka arobaini na saba godoro spring inaua mbavu usikute unanuka jasho la kobdakta hivi inaamkaje?


hebu rekebisha km ulikuwa unadate sehemu chafu tafta sehemu safi na km ni safi basi tafta pachafuchafu kubinyana akili inakuwagamo haipo ukimaliza ndio unashtuka kumbe upo pasafi au pachafu.
 
Back
Top Bottom