Hivi mabenki yanavyofungwa na kufilisika,hii ina tafsiri gani katika uchumi wetu???? Kuna uhusiano gani kati ya uchumi wa nchi na mabenki kufilisika????
uchumi upo matatani. hizi benki ndogondogo wanazifunga lakini izi kumbwakumbwa ambazo ni too big to fall wanazi boost ndio maana unaona zina survive katika hii hali tete.