Wataalamu wa ujenzi mnisaidie: aina hii ya floor inaitwaje? Ili kuitengeza mahitaji yake ni yepi? Gharama za ujenzi zikoje?

Wataalamu wa ujenzi mnisaidie: aina hii ya floor inaitwaje? Ili kuitengeza mahitaji yake ni yepi? Gharama za ujenzi zikoje?

Blue Bahari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
1,851
Reaction score
2,171
Huwa naziona sana floor hizi hususani kwenye taasisi Kubwa. Vipi kwa upande wa nyumba za kawaida za kuishi. Zinafaa kutumika?

Karibuni.
PSX_20240110_102653.jpg
PSX_20240110_101751.jpg
 
Zinafaa nyumba za kupangisha au kwenye frem waburuze miguu watavyo hazichakai zikifubaa unaingiza mashine unasugua upya
 
Duh! Mahitaji yake ili kuitengeza unayajua?
Epoxy resin mkuu. Sema sina hakika kama kuna mbongo atakutengenezea yenye kiwango hicho. Kuna wahindi wanafanya na pale mwenge kulikuwa na jamaa anafanya sijui kama bado yupo maana kuna kipindi nlikiwa natafta material ya epoxy resin kwa ajili ya kuyatumia kwenye furniture nikafika pale ola bei ya lita moja tu ilikuwa kubwa sana.
 
Back
Top Bottom