Wataalamu wa ujenzi mnisaidie: aina hii ya floor inaitwaje? Ili kuitengeza mahitaji yake ni yepi? Gharama za ujenzi zikoje?

Wataalamu wa ujenzi mnisaidie: aina hii ya floor inaitwaje? Ili kuitengeza mahitaji yake ni yepi? Gharama za ujenzi zikoje?

Aisee!
Tunasemaga "Old is Gold" [\i].
Ile ya 3d sio tarazo ni epoxy na ya miaka ya hivi karibuni kwa tz imeingia.kama.miaka 10-13 iliyopita ila sijaona mtu anayemudu kwa 3d. Inatumika.pia kwenye furniture furniture inakuwa bomba hata.
download.jpeg
images (30).jpeg
 
Ile ya 3d sio tarazo ni epoxy na ya miaka ya hivi karibuni kwa tz imeingia.kama.miaka 10-13 iliyopita ila sijaona mtu anayemudu kwa 3d. Inatumika.pia kwenye furniture furniture inakuwa bomba hata.
View attachment 2867190View attachment 2867191
Wangepatikana wataalamu wa kibongo wanaojua kuzipatia, basi nina imani Wabongo wangezichangamkia. Kwa sababu za utaalamu ndiyo maana tumejikita zaidi kwenye tiles.
 
Yeah

Nenda hapo wakupe abc kuhusu suala lako, pia unaweza kufanya window shopping kwa ma-supply wengine maana siku hizi supplies wamekuwa wengi hivyo hata gharama inaweza kuwa chini kidogo
Ubarikiwe Kwa muongozo. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom