Wataalamu wa ujenzi mnisaidie: aina hii ya floor inaitwaje? Ili kuitengeza mahitaji yake ni yepi? Gharama za ujenzi zikoje?

Zinafaa nyumba za kupangisha au kwenye frem waburuze miguu watavyo hazichakai zikifubaa unaingiza mashine unasugua upya
 
Duh! Mahitaji yake ili kuitengeza unayajua?
Epoxy resin mkuu. Sema sina hakika kama kuna mbongo atakutengenezea yenye kiwango hicho. Kuna wahindi wanafanya na pale mwenge kulikuwa na jamaa anafanya sijui kama bado yupo maana kuna kipindi nlikiwa natafta material ya epoxy resin kwa ajili ya kuyatumia kwenye furniture nikafika pale ola bei ya lita moja tu ilikuwa kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…