Wataalamu wa ujenzi wa nyumba /waezekaji msaada please

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Roofing nails zinauzwa katika vipimo vipi?

Fundi aliniambia kuwa kg moja ya roofing nails ni Tsh 6,000.

Sasa nimenunua box lina kg 13, ndani kuna mifuko midogo 25 yenye misumari 47 na haitimii kilo for that matter. Wananiambia hiyo kimfuko chenye misumari 47 ndicho elfu 6, ndiyo kg moja at 6000.

Huwa ni hivyo?
 
Misumari ya bati huwa inauzwa kwa packet, kila packet 1 huwa inakaa misumari 100 (wakati mwingine ukihesabu, hiyo idadi katika packet haitimii, ni around 90pcs to 100pcs)

Bei yake ni around Tsh 9000 to Tsh 10,000 kwahivyo hapo wewe unauziwa misumari 94 kwa Tsh 12,000

Kila packet inapaua wastani wa bati 5 mpaka 6 kutegemeana na upana na aina ya bati zilizotumika

Ramani, Makadirio au Ushauri kuhusu Ujenzi tuwasiliane
 
Kiuhalisia ilipaswa kutimia kilo lakini sasa hivi tunapigwa sana kwenye vipimo.. Malighafi nyingi za ujenzi vipimo vilivyoandikwa havitimii
Nondo
Square pipes
Cement
Misumari
Bati.. Etc etc
 
Misumari ya bati huwa inauzwa kwa packet, kila packet 1 huwa inakaa misumari 100 (wakati mwingine ukihesabu, hiyo idadi katika packet haitimii, ni around 90pcs to 100pcs)

Bei yake ni around Tsh 9000 to Tsh 10,000 kwahivyo hapo wewe unauziwa misumari 94 kwa Tsh 12,000

Kila packet inapaua wastani wa bati 5 mpaka 6 kutegemeana na upana na aina ya bati zilizotumika

Ramani, Makadirio au Ushauri kuhusu Ujenzi tuwasiliane
asante sana kwa maelezo mazuri
 
Back
Top Bottom