Wataalamu wa vyombo vya moto naomba ushauri

Wataalamu wa vyombo vya moto naomba ushauri

Mimi au wewe sasa? Tuliza kichwa utaelewa, uwezo wako kwa sasa ni piki piki tu gari bado sana
We ndio hata mada hujaielewa, kasome tena na tena maana hiyo kichwa ni ngumu
 
Karibu kwenye familia..mimi natumia boxer x150 mwaka wa 6 huu na sijawahi kupata hata mchubuko cha muhimu ni umakini. Naishi mapinga nafanya kazi mbagala
 
Ukinunua pikipiki usije ukapuuzia BIMA YA AFYA, tena anza kukata bima ya afya ndio, ukishapokea kikadi chake ndio uanze safari ya kwenda kununua pikipiki.

Nasema hivyo kwa sababu yapata kama miezi 2 nyuma, staff wa MOI alikuwa akihojiwa kwenye moja ya chombo cha habari akaeleza wahanga wengi ni waendesha pikipiki na gharama za matibabu kwa mtu aliyevunjika zina renji kuanzia milioni 1 mpaka 20 kutegemeq na hali ya mtu na siku atakazi lala.

Ni ushauri sio lazima kuufuata. Nakutakia kila la heri.
 
Back
Top Bottom