sangaone98
Member
- Apr 16, 2024
- 77
- 107
Ukweli usio pingika taifa letu limekuwa likizalisha wataalamu wengi kila mwaka kutoka vyuo mbali mbali ndani na nje ya nchi.
Lakini wengi wao hawapati nafasi ya kuonyesha uwezo wao kwenye soko la ajira za serikali na ofisi binafsi kwa sababu ya kigezo cha uzoefu.
Kigezo hiki kinamuitaji muombaji awe na uzoefu wa kufanya hiyo kazi kwa muda usio pungua miaka mitano.
Swali linakuja je hawa wataalamu nani atawapokea ili kuonesha uwezo wao wa kufanya kazi?.

Upvote
0