Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Hoja kama ya 5G ni korona ? Utakuwa mwehu kubishana nae. Hajui physics anawaambia watu 5G ni korona! Mjinga tu ndio amaweza kumuamini.mimi nimeuliza tu,unaweza kupambana na gwajima katika kujenga hoja,tuliachana na uzinzi maana huko inawezekana unampiga 5:0.
Unabishana vipi na layman.
Gwaji ni layman katika udaktari, hii dunia ni kubwa sana kisha unajifanya kujua kila kitu.
Profesa wa udaktari anaezalisha madaktari atoe majibu kisha tumuamini Gwajima kwa habari za mitandaoni na tukatae majibu ya mtaalamu, huo sio ujuha.
Awe ananukuu vifungu vya biblia, hio ndio fani yake maji yanayomzidi ayaache wayaoge wenye weledi nayo.