Wataalamu wasema Askofu Gwajima amepotosha ukweli kuhusu chanjo ya corona

usijifunguie kwenye taaluma yako peke yake.
hakuna sheria inayokulazimisha kuwa hivyo ni uamuzi wako tu,ambao tunawezaita ni wa ajabu ajabu.
ndio asili ya wasomi wa leo,yaani mtaalamu wa fani fulani anajikita hapo peke yake,na kuacha kabisa kujihusisha na mambo mengine,iwe kujisomea au kujihusisha nayo kivingine,sawa.
ila sio lazima kila mtu awe hivyo.

lingekuwa jambo la hovyo sana kama gwajima angesimama apinge chanjo halafu hana sababu.
sisi kama wasikilizaji tuna muda wa kufanyia utafiti aliyoyazungumza si kukanusha tu na kusema hajui alichoongea.wakati ni ukweli chanjo zimesababisha matatizo kwa waliopokea.

wewe ni mtaalamu,lakini nikikuuliza kirusi cha corona kimetoka wapi,huna jibu zaidi ya kuishia kuwa ni kirusi cha mlipuko.
 
Hvi unadhani kutengeneza chanjo ya mlipuko ni rahisi? Watu wanakesha usiku kucha mpka wamepata nyie mmekalia tu kuwaza kampeni na kuufuta upinzani mnadhani mngeweza pata chanjo kwa wakati?

Nawaita wajinga sababu wanapotosha bila kuwa na elimu ya kitu husika
Sasa amepotosha kuwa kirusi/chanjo inagusa nucleus wakati si kweli bali kinaranda kwenye cytoplasm tu.

Mimi kwa eneo langu huwa najifunza mambo mengi LAKINI kma nilivyoeleza natumia wataalam wa eneo husika. Sasa Gwajima anadownload pdf moja tu then anageuka mchambuzi wa virology hiko ndio napinga.

Tukiandaa tafiti za kibiashara na kiuchumi huwa tunasoma hata data za paper 20-30 ndio uandae kurasa kadhaa. Huwezi tumia reference moja tu kufikia conclusion kwenye taaluma hakuna hiko kitu.

Mtu anadai CDC haizitambui chanjo.... Kwani alishindwa kutafuta daktari amayeishi US ampe briefing CDC ina practice vipi na mfumo upoje? Ni lazima tupende kusoma kabla ya kutoa maoni otherwise uache wataalam wajadili.

Tatizo lenu mmekalia ushabiki hamtaki facts
 
Wapi sasa walipokosoa juu ya hiyo chanjo kuwa ya majaribio?
 
Mkuu waache wafuasi na mtume wao. Tuna subiri chanjo ya mtume wao.
 
Wapi sasa walipokosoa juu ya hiyo chanjo kuwa ya majaribio?

Kwenye red panakaza zaidi:



Ushauri wa wataalamu si wa mitume wafufua wafu utazingatiwa.



Ni furaha sana kuwa na mama Samia kama rais wa JMT.

Mungu atupe nini tena?
 
Sasa ya nini kulazimishiana kama sio lazima, acheni kelele basi, mtulie
 
Sasa ya nini kulazimishiana kama sio lazima, acheni kelele basi, mtulie
Tunachopinga ni upotoshaji wenu UVCCM.... Yaani vijana wa HKL mnahoji epidemiology? Mbona cjaona mmeandika tafiti kukosoa chanjo na mkapropose yenu?

Issue ni chanjo ni muhimu but hakuna mahala wamesema lazma itoke nje. Ila nyie mmekazana tu ooh mabeberu ooh majaribio. Mbona china wana zao, Russi and india too?

Acheni kuleta ujuaji tengenezeni chanjo yenu or shut up.
 
Ni wapi sasa wanapokanusha kuwa chanjo si majaribio?
Wanakanusha kitu ambacho hakipo? Ushaambiwa clinical trials zilikua last year na wakajiridhisha faida ni kubwa kuliko hasara kwa mujibu wa naibu waziri na WHO.

Sasa kwa mazingira hayo ww usiye hta na basic certificate ya masuala ya afya unatoa wapi nguvu ya kuhoji maprofessor wa virology??

Kma mnapinga muwe na uthibitisho wa kisayansi otherwise hakuna waliposema mtumie chanjo kutoka nje. Kiri tu mmeshindwa kutengeneza ila kukaa kulaumu wazungu na kukosoa uvumbuzi wao wkt ssi hatuna wa kwetu hauwezi kuwasaidia lolote.
 
UNAFIKI UPO.
kwani wengine wanaokufa wao hawafuati ushauri wa WATAALAM?.

Unafiki upi. Huku wenzio safari ya hija imewiva:


Karagabaho!
 
Kwa hyo wakipata chanjo ndo watakuwa salama na Corona?
 
Ni wapi sasa wanapokanusha kuwa chanjo si majaribio?

Hakuna kilichoasisiwa na binadamu kisichokuwa katika majaribio ya kudumu.

Ndiyo maana nafasi ya maboresho ipo siku zote.


Kazi inapoendelea tuko bega kwa bega na mama Samia. Ngoja turudi kutoka hija. Tutaelewana tu!
 
Chanjo ni ya majaribio, na sijaona sehemu mtu akikanusha hii hoja ya Gwajima, zingine ni kelele tu za madalali, tutengeneza yetu kwani ulisikia tunashida ya chanjo ya Corona?
 
Chanjo ni ya majaribio, na sijaona sehemu mtu akikanusha hii hoja ya Gwajima, zingine ni kelele tu za madalali, tutengeneza yetu kwani ulisikia tunashida ya chanjo ya Corona?

Na sisi tulio na shida ya chanjo ya Corona umetujumuisha kwenye maoni yako haya?

"..... kwani ulisikia tunashida ya chanjo ya Corona?"
 
Chanjo imeruhusiwa kwa ‘Emergency use Authorisation’ , chanjo ya dharura simply means haijafahamika madhara yake na side effects zake kwa mida mrefu, na hiyo ndio maana ya majaribio, na katika hayo majaribio imegundulika kuna wanaoganda damu nk, kuna chanjo ya Astra zameca ilishapigwa marufuku mara kadhaa, ni sababu bado inajaribiwa, sasa sijajua nabishana nataahira au punguani, sielewi kabisa
 
Na sisi tulio na shida ya chanjo ya Corona umetujumuisha kwenye maoni yako haya?

"..... kwani ulisikia tunashida ya chanjo ya Corona?"
Kama unataka kufanywa panya wa majaribio si nenda tu Kenya, hakukatazi mtu, kila nchi na utaratibu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…