Wataalamu wengi wa manunuzi na ugavi ni wezi na wapigaji. Nipingeni kwa hoja

Wataalamu wengi wa manunuzi na ugavi ni wezi na wapigaji. Nipingeni kwa hoja

Swahili AI

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2016
Posts
10,174
Reaction score
89,364
Katika kada na kazi zinazoigharimu serikali kifedha ni hawa wataalamu wa manunuzi. Akili zao zipo kuwaza asilimia 10 kutoka kwa mzabuni.

Hawa wanufaika ndio wanaoingiza serikali kwenye gharama kubwa sana ili hali wao wakiangalia matumbo.
 
Hao watengeneza sera na sheria pia nitatizo.
Lugha na uelewa wa sheria mdogo nichangamoto kubwa
 
Aliyeanzisha hiki kitengo ndo wa kulaumiwa, ilikuwa inatosha kila idara kujinunulia mahitaji yake......na unaweza kuwapelekea mahitaji wakakununulia vifaa vyenye ubora wa chini au ambavyo huvihitaji, ili hali mngeruhisiwa wenyewe kwenye idara kufanya manunuzi mngetafuta vifaa bora zaidi kwa bei nafuu.....ni mwendelezo wa kupeana fursa za upigaji.​
 
Back
Top Bottom