Aliyeanzisha hiki kitengo ndo wa kulaumiwa, ilikuwa inatosha kila idara kujinunulia mahitaji yake......na unaweza kuwapelekea mahitaji wakakununulia vifaa vyenye ubora wa chini au ambavyo huvihitaji, ili hali mngeruhisiwa wenyewe kwenye idara kufanya manunuzi mngetafuta vifaa bora zaidi kwa bei nafuu.....ni mwendelezo wa kupeana fursa za upigaji.