Zungumza nao majirani zako hao!Nini maana yako mkuu
Asante sana mkuu hapana hakuna namna naweza fanya kuweka watu wasitumie speed kiasi flan?Mkuu kwa Wi-fi gani?
Hizi hizi za Airtel zenye data cap?
Halafu saizi ishakuwa yeboyebo kila mtu anayo, hii imefanya maeneo mengi kutoza bei ndogo kwa watu wanaounganisha.
Mfano mtaani kuna watu wanaunganisha jero siku nzima.
Sijui eneo lako upatikanaji wa hiyo huduma ni wa kiwango gani. Ila kama kutakuwa na mfanano basi itakupa challenge.
Kumbuka hizo Wi-fi sio unlimited, watumiaji wako wakifikisha data cap iliyowekwa na ISP basi hapo speed itashushwa hadi 0.87Mbps.
Na ukifikia speed hiyo hakuna mtu ambaye atakuwa tayari kutoa jero lake hata kama utamuambia atumie kwa wiki nzima.
Kuna dada nilimpa idea akaweka dukani kwake anakula vichwa mtaani na yuko karibu na kijiwe cha boda. Shida speed wakijiunga watu wengi inakuwa kobe. Kama ulipo kuna fiber itakuwa poa zaidi kuliko hizi routerSalam wana Jf
Nahitaji kufungua biashara ya wifi yaani nifunge wifi kisha niwe nawaunga jamii iliyonizunguka kwa 500 per 1hrs.
Ila sijui nianze na kitu gani gharama zake? Jinsi ya kudhibiti data washusha movies, umbali kiasi gani ndio mzuri? Kifurushi unlimited haijalishi kitamiwe kiasi gani hakiishi kama kinaisha nifanyeje nitoboe mwezi?
Nina maswali mengi karibuni nipate ABC π ASANTENI.