Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
Beeeeeh' mwanafunzi wangu,Carleen hali tete huku mwalimu wangu.
Siwezi mlaumu huyo mwalimu moja kwa moja maana mfumo wetu wa elimu kiujumla ni mbovu mno..!!
sentence ya kwaza 'Parents' ni Plural there's no way utatumia verb ya 'has', verb ya 'has' hutumika kwenye uwakilishi wa 'Singular', hivyo jibu sahihi hapo ni 'have'..!!
Na kwa sentence ya Pili, hiyo 'will has', tayari haipo 'grammatically correct', ilipaswa iwe, 'when the chicks grow, she will have fourteen hens'..!
Naomba kwa msaada zaidi nimuite mwalimu mkuu madam Hannah 😂