Beeeeeh' mwanafunzi wangu,Carleen hali tete huku mwalimu wangu.
"Has" is used with singular third-person subjects (he, she, it, or singular nouns), while "have" is used with first-person (I, we), second-person (you), and plural third-person (they) subjects.Angalia picha hapa chini, sijajua matumizi ya "has"na "have" yamekaaje.hapa.
Mtoto alikuwa amejaza "have" akakosa na corrections ni kama unavyoona hapo. Je ni sahihi? Hawa walimu wetu ni changamoto sana.
View attachment 3265842
kwa jibu lako hili basi hizo sentesi zote mbili ziko sahihi..umesema Has inatumika kwa he{jinsia ya kiume},she{jinsia ya kike} na it{kitu au kifaa..kwa sentesi ya kwanza wametajwa Deborah's parents hawa ni he,she kwahiyo matumizi ya neno has ni sahihi..na kuhusu sentensi ya pili nayo ni sahihi kwani ametajwa chicks huyu ni kuku au ndege so anaingia kwenye It yaani kitu kwani kwenye Has=he,she,it na kwa vile huyo chicks anaingia kwenye it basi kutumia has ni sahihi kabisa..kwahiyo hizo sentensi zote ni sahihi.Setensi ya kwanza sio sahihi,
ya pili pia haipo sahihi kwa sababu ya hiyo WILL
kwa hiyo itakuwa She will have na sio has
has inatumika kwa He/She/It
Have inatumika kwa I/You/We/They
Kwa mfano tuiweke sentensi kwa Kiswahili.kwa jibu lako hili basi hizo sentesi zote mbili ziko sahihi..umesema Has inatumika kwa he{jinsia ya kiume},she{jinsia ya kike} na it{kitu au kifaa..kwa sentesi ya kwanza wametajwa Deborah's parents hawa ni he,she kwahiyo matumizi ya neno has ni sahihi..na kuhusu sentensi ya pili nayo ni sahihi kwani ametajwa chicks huyu ni kuku au ndege so anaingia kwenye It yaani kitu kwani kwenye Has=he,she,it na kwa vile huyo chicks anaingia kwenye it basi kutumia has ni sahihi kabisa..kwahiyo hizo sentensi zote ni sahihi.
kwahiyo have na has ilitakiwa kuwa wapi kwenye sentensi hizoTofauti ipo kwenye general vs specific number of items.
daaaa😀😀😃😃😃😃, zamani masela wanachonga mpaka mhuri wa kwaniabaParents ni wingi hivyo inahitaji kitenzi cha wingi na siyo umoja kwahiyo hapo mwanzo ilitakiwa iwe "Have" na siyo "Has"
Hata sentensi ya pili kakosa anatakiwa atumie "Have"
Msachi dogo vizuri atakua anatembea na kalamu nyekundu
Hapo kote alitakiwa ajaze have.Angalia picha hapa chini, sijajua matumizi ya "has"na "have" yamekaaje.hapa.
Mtoto alikuwa amejaza "have" akakosa na corrections ni kama unavyoona hapo. Je ni sahihi? Hawa walimu wetu ni changamoto sana.
View attachment 3265842
Ewaaaaaaaaahhhhh!!Beeeeeh' mwanafunzi wangu,
Siwezi mlaumu huyo mwalimu moja kwa moja maana mfumo wetu wa elimu kiujumla ni mbovu mno..!!
sentence ya kwaza 'Parents' ni Plural there's no way utatumia verb ya 'has', verb ya 'has' hutumika kwenye uwakilishi wa 'Singular', hivyo jibu sahihi hapo ni 'have'..!!
Na kwa sentence ya Pili, hiyo 'will has', tayari haipo 'grammatically correct', ilipaswa iwe, 'when the chicks grow, she will have fourteen hens'..!
Naomba kwa msaada zaidi nimuite mwalimu mkuu madam Hannah 😂
teacher mbulula. hata kina Ndalichako walifundishwa na walimu kama huyo mwalimu wa mwanao.Angalia picha hapa chini, sijajua matumizi ya "has"na "have" yamekaaje.hapa.
Mtoto alikuwa amejaza "have" akakosa na corrections ni kama unavyoona hapo. Je ni sahihi? Hawa walimu wetu ni changamoto sana.
View attachment 3265842
1. HaveSentensi ya kwanza mwalimu ni kilaza,
Sentensi ya pili mwalimu yupo sawa.
Subiri mwalimu wangu Chaliifrancisco aje, mimi mwenyewe shule niliishia form 4.
Nawaza huyo mwalimu alipitiwa au?! Dah 🤦♀️1. Have
2. Have
I also think so.Mote humo ni mwendo wa have, labda kama lugha imebadilika.
tatizo lako ww hizo sentensi unazitafsiri kwa kuangalia umoja na uwingi badala ya nini kinazungumzwa au kukusudiwa.. na kosa hilo ndilo linafanywa na wengi humu hadi wanasema hizo sentensi sio sahihi wakati zote zipo sahihi has ndio inatakiwa ikae hapo..we si umeona umekosea hata hizo sentensi ulizonipa mfano hapo juu umetafsiri Have/Has =wana/ana..wakati sentensi za umoja na uwingi zinawakilishwa na They au Them..Kwa mfano tuiweke sentensi kwa Kiswahili.
Debora's parents _____ many hens (Have/Has)
Wazazi wa Debora _____ kuku wengi (Wana/Ana)
Ipo hivi. hapo wanaomiliki hao kuku ni wazazi wa debora, kwa maana hiyo ni wingi tayari na lazima utumie Have.tatizo lako ww hizo sentensi unazitafsiri kwa kuangalia umoja na uwingi badala ya nini kinazungumzwa au kukusudiwa.. na kosa hilo ndilo linafanywa na wengi humu hadi wanasema hizo sentensi sio sahihi wakati zote zipo sahihi has ndio inatakiwa ikae hapo..we si umeona umekosea hata hizo sentensi ulizonipa mfano hapo juu umetafsiri Have/Has =wana/ana..wakati sentensi za umoja na uwingi zinawakilishwa na They au Them..
Error. By grammar checkerAngalia picha hapa chini, sijajua matumizi ya "has"na "have" yamekaaje.hapa.
Mtoto alikuwa amejaza "have" akakosa na corrections ni kama unavyoona hapo. Je ni sahihi? Hawa walimu wetu ni changamoto sana.
View attachment 3265842