Wataaluma wanapotumika kuchafua lugha ya kiswahili

Wataaluma wanapotumika kuchafua lugha ya kiswahili

Mmeku Tukulu

Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
92
Reaction score
27
Katika kamusi iliyotolewa na Taasisi ya
Uchunguzi wa Kiswahili (Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam), "English-Kiswahili
Dictionary" kuna neno CCM, n(abbr. of )
Chama cha Mapinduzi. Hivi kweli huku si
kuidhalilisha lugha ya kiswahili? Kifupisho
cha chama fulani kinawezaje kuwa ni neno
rasmi katika lugha ya kiswahii? Wataalamu
wa lugha tuwekeeni wanajamii ufafanuzi
maana vifupisho vya vya Tanzania na nchi
nyinginezo kinakozungumzwa viko vingi.
 
Back
Top Bottom