Wataaramu wa Rangi za gari

Wataaramu wa Rangi za gari

Ng'azagala

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2008
Posts
1,288
Reaction score
222
Ni wepi wataalamu wa upigaji rangi kwa magari na pia wa bei ambayo ni reasonable. Nimepiga rangi mahali ila zinafubaa mapema.
 
Nenda garage za wachina, au kule ambapo Diamond amepiga rangi BMW yake
 
Hata mm nahitaji fundi rangi wa magari
hasa aliopo Moro
 
Back
Top Bottom