Habari ndio hiyo!
Jamii ya kushabikia nyumba ndogo unategemea nini...kama nawaona akina dada, yaani rusha roho balaa huwa zinaishia na ngumi za kufa mtu.
Mume Hubajeti sawa, wivu na choyo cha nini?
Hakuna cha peke yako hasa hapa mjini
Kugawana na mwenzako siku hizi ni fesheni
Tutabanana hapa hapa hunipiku asilani!
Sitaki kubanana sitaki kushare, mimi mchoyo. Naona umekuwa mzee yusuph nawewe
Sitaki kubanana sitaki kushare, mimi mchoyo. Naona umekuwa mzee yusuph nawewe
Huyo mume akianza kuharisha nani atamvisha nepi? Au ndio mtabanana kwa hilo pia? HEBU WAMBIE HAWA WANAWAKE WANARAHISISHA SANA MAMBO, NGOJA UKIMWI UWAMALIZE NYIE!
Huyo mume akianza kuharisha nani atamvisha nepi? Au ndio mtabanana kwa hilo pia?