Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
una nyota ya umasikiniKama kuna mtaalam wa kutabiri hapa Jf ajitokeze aniangalizie nyota yangu na ni biashara gani inaendana nayo maana naona nazeeka maskini.
Nimevutiwa sana na mchango wako. Natamani ungeendelea zaidi ya hapa nijue mengi zaidi kutuhusuUtabiri unafanyika kwa crstal ball,astrology,palmistry,tarot cards, halafu ksma unafanya astral travelling,ukienda kwenye Hall of Memories utaeezakuiona akashic record na record of probabilities.Katika Akashic unaona mambo yaliyopita since the beginning of time. Katika record of probabilitied you see the future,from now until 3000 years into the future. Hii dunia ni physical plane,baada ya hapo ipo astral plane,baada ya hapo ipo brahma plane. Csll it whatever name you like,the plane above the astral plane,wanapokwenda watu wanapokufa,hapo ndipo ilpo hall of memories. Kwa maana hiyo,ukikutana na roho ya mtu aliyekufa,anaweza kukuambia something that will happen in the future.Unaweza kutabiri kwa kuingia katika kufikiria record of possibilities kuona kama vita inaweza kutokea.
Asante kwa MAARIFA hayaUtabiri unafanyika kwa crstal ball,astrology,palmistry,tarot cards, halafu ksma unafanya astral travelling,ukienda kwenye Hall of Memories utaeezakuiona akashic record na record of probabilities.Katika Akashic unaona mambo yaliyopita since the beginning of time. Katika record of probabilitied you see the future,from now until 3000 years into the future. Hii dunia ni physical plane,baada ya hapo ipo astral plane,baada ya hapo ipo brahma plane. Csll it whatever name you like,the plane above the astral plane,wanapokwenda watu wanapokufa,hapo ndipo ilpo hall of memories. Kwa maana hiyo,ukikutana na roho ya mtu aliyekufa,anaweza kukuambia something that will happen in the future.Unaweza kutabiri kwa kuingia katika kufikiria record of possibilities kuona kama vita inaweza kutokea.
Biashara yako naiona kwenye nyota Ni hiyo kwenye PROFILE PICTURE YAKO..Kama kuna mtaalam wa kutabiri hapa Jf ajitokeze aniangalizie nyota yangu na ni biashara gani inaendana nayo maana naona nazeeka maskini.
Afadhali umemjibu, hata mimi nilitaka kujibu hivyohivyoMtoa mada anashauku sana nahii nidalili yakuelekea uamsho wakiroho.
Watu kadhaa walio fikia juu kiutambuzi walipitia mchakato kama wako.
Walijiuliza maswali magumu sana yalio changanya sana akili zao nabado waliendelea kukosa majibu.
Baada yahapo ndipo huamua kuvaa uhusika mkuu wakuanza kufanya utafiti wahali namali kujifunza maarifa hayo.
Lakini nakuthibitishia kwamba unao uwezo mkubwa wakutambua mambo makubwa namazito sana.
Nikikwambia unauwezo wakutoka nj'e yahuo mwili wako nakwenda popote katika dunia hii kwasipidi chini ya sekunde moja bila jini wala uchawi wowote ningumu sana,sana kunielewa zaidi utaona naongelea mambo yandoto za kufkirika tuu.
Zinaweza kua zakufikirika kwenye mtazamo wako kwakua wewe nimtumishi unae tumika kwenye kampuni au shilika flani na mshahara unalipwa mzuri jumlisha marupu rupu kidogo,una gari,na umejenga nyumba yako pale 👉town.
Kwahiyo unaona maisha ndio hayo hayo nauhalisia ndio huo.
Hasara kabisa kuwa na watu kama wewe,basi huko kwenye urokole wako twambie vipawa vya roho mtakatifu ni vipi?Hao wanaojiita au kuitwa watabiri au wengine huwaita makuhani,shughuli zao hizi za 'utabiri' zina mchango mkubwa wa MASHETANI YA KIJINI.Majini wana uwezo wa kuruka na kwenda umbali
Ikiwa ni hivyo basi ana nafuu shetani anayewajali watu na kuwapa hadhari na maoni anuai watu kuliko mungu anayewakaushiaHasara kabisa kuwa na watu kama wewe,basi huko kwenye urokole wako twambie vipawa vya roho mtakatifu ni vipi?
Kwahiyo mungu hana uwezo wa kumwonesha mtu yajayo hadi awe shetani na mapepo?