Watabiri huwa wanatumia nini kutabiri...?

Mtoa mada anashauku sana nahii nidalili yakuelekea uamsho wakiroho.
Watu kadhaa walio fikia juu kiutambuzi walipitia mchakato kama wako.
Walijiuliza maswali magumu sana yalio changanya sana akili zao nabado waliendelea kukosa majibu.
Baada yahapo ndipo huamua kuvaa uhusika mkuu wakuanza kufanya utafiti wahali namali kujifunza maarifa hayo.
Lakini nakuthibitishia kwamba unao uwezo mkubwa wakutambua mambo makubwa namazito sana.
Nikikwambia unauwezo wakutoka nj'e yahuo mwili wako nakwenda popote katika dunia hii kwasipidi chini ya sekunde moja bila jini wala uchawi wowote ningumu sana,sana kunielewa zaidi utaona naongelea mambo yandoto za kufkirika tuu.
Zinaweza kua zakufikirika kwenye mtazamo wako kwakua wewe nimtumishi unae tumika kwenye kampuni au shilika flani na mshahara unalipwa mzuri jumlisha marupu rupu kidogo,una gari,na umejenga nyumba yako pale 👉town.
Kwahiyo unaona maisha ndio hayo hayo nauhalisia ndio huo.
 
Utabiri unafanyika kwa crstal ball,astrology,palmistry,tarot cards, halafu ksma unafanya astral travelling,ukienda kwenye Hall of Memories utaeezakuiona akashic record na record of probabilities.Katika Akashic unaona mambo yaliyopita since the beginning of time. Katika record of probabilitied you see the future,from now until 3000 years into the future. Hii dunia ni physical plane,baada ya hapo ipo astral plane,baada ya hapo ipo brahma plane. Csll it whatever name you like,the plane above the astral plane,wanapokwenda watu wanapokufa,hapo ndipo ilpo hall of memories. Kwa maana hiyo,ukikutana na roho ya mtu aliyekufa,anaweza kukuambia something that will happen in the future.Unaweza kutabiri kwa kuingia katika kufikiria record of possibilities kuona kama vita inaweza kutokea.
Nimevutiwa sana na mchango wako. Natamani ungeendelea zaidi ya hapa nijue mengi zaidi kutuhusu
 
Utabiri unafanyika kwa crstal ball,astrology,palmistry,tarot cards, halafu ksma unafanya astral travelling,ukienda kwenye Hall of Memories utaeezakuiona akashic record na record of probabilities.Katika Akashic unaona mambo yaliyopita since the beginning of time. Katika record of probabilitied you see the future,from now until 3000 years into the future. Hii dunia ni physical plane,baada ya hapo ipo astral plane,baada ya hapo ipo brahma plane. Csll it whatever name you like,the plane above the astral plane,wanapokwenda watu wanapokufa,hapo ndipo ilpo hall of memories. Kwa maana hiyo,ukikutana na roho ya mtu aliyekufa,anaweza kukuambia something that will happen in the future.Unaweza kutabiri kwa kuingia katika kufikiria record of possibilities kuona kama vita inaweza kutokea.
Asante kwa MAARIFA haya
 
Pia pana roho ya utambuzi kwa upande wa nguvu za Giza kupitia jini jaa anauzwa kuanzia milioni mia tano
 
Mtoa mada anashauku sana nahii nidalili yakuelekea uamsho wakiroho.
Watu kadhaa walio fikia juu kiutambuzi walipitia mchakato kama wako.
Walijiuliza maswali magumu sana yalio changanya sana akili zao nabado waliendelea kukosa majibu.
Baada yahapo ndipo huamua kuvaa uhusika mkuu wakuanza kufanya utafiti wahali namali kujifunza maarifa hayo.
Lakini nakuthibitishia kwamba unao uwezo mkubwa wakutambua mambo makubwa namazito sana.
Nikikwambia unauwezo wakutoka nj'e yahuo mwili wako nakwenda popote katika dunia hii kwasipidi chini ya sekunde moja bila jini wala uchawi wowote ningumu sana,sana kunielewa zaidi utaona naongelea mambo yandoto za kufkirika tuu.
Zinaweza kua zakufikirika kwenye mtazamo wako kwakua wewe nimtumishi unae tumika kwenye kampuni au shilika flani na mshahara unalipwa mzuri jumlisha marupu rupu kidogo,una gari,na umejenga nyumba yako pale 👉town.
Kwahiyo unaona maisha ndio hayo hayo nauhalisia ndio huo.
Afadhali umemjibu, hata mimi nilitaka kujibu hivyohivyo
 
Hao wanaojiita au kuitwa watabiri au wengine huwaita makuhani,shughuli zao hizi za 'utabiri' zina mchango mkubwa wa MASHETANI YA KIJINI.Majini wana uwezo wa kuruka na kwenda umbali
Hasara kabisa kuwa na watu kama wewe,basi huko kwenye urokole wako twambie vipawa vya roho mtakatifu ni vipi?

Kwahiyo mungu hana uwezo wa kumwonesha mtu yajayo hadi awe shetani na mapepo?
 
Ikiwa ni hivyo basi ana nafuu shetani anayewajali watu na kuwapa hadhari na maoni anuai watu kuliko mungu anayewakaushia
 
Kwa lugha rahisi kutabiri ni kama kubet tu....... unatumia common sense kudhania jambo fulani litatokea

Kwa mfano michuano ya Ulaya hata wewe unaweza kitabiri timu gani unadhani itashinda

Hakuna nguvu yoyote ya ziada aliyonayo mtu kutabiri kitu na 100% kitatokea
Watabiri wengi wanatabiri utabiri wa kiujumla na kiujanja ujanja
Mtu anatabiri eti mwaka huu kutatokea janga kubwa au mtu maarufu atafariki au kiongozi mkubwa atapoteza madaraka, haya mambo ni Lazima yanatokea kila mwaka

Nakumbuka enzi za Shekh Yahaya alikua akitabiri kiujanja ujanja sana
Nabii Emanuel wa Nijeria alikua akitabiri vitu 10 vikitokea viwili kati ya kumi watu wanasahau kabisa kuhusu mambo nane ambayo hayajatokea

Kama utabiri NI KWELI maana yake ni kwamba mambo yote yamepangwa na mtabiri anakua na access ya kujua mambo hayo.... HII KITU HAIPO
 
Back
Top Bottom