Watafiti wa mazao viko wapi viazi lishe?

Watafiti wa mazao viko wapi viazi lishe?

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
Miaka ya huko nyuma kidogo watafiti mlituletea viazi karoti au viazi lishe, viazi hivi vilikuwa vya njano ndani na mlituambia vina ubora mkubwa kwenye lishe kuliko vilivyopo vya asili.

Lakini havikuchukua muda vikatoweka kwenye soko, baada ya kutoweka sijasikia mkijaribu kuvifufua, sijui sababu labda nyie mnayo.

Kama ipo sababu ya kutoweka kwake tujulisheni na kama havina madhara na ni bora vifufueni ili vitumike kwenye shule za msingi ambako watoto wanaonekana wanautapia mlo.
 
Back
Top Bottom