Watahiniwa 3853 washindwa mitihani NBAA

Watahiniwa 3853 washindwa mitihani NBAA

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,677
Wanafunzi 1332 kati ya 3853 waliofanya mitihani ya Bodi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu nchini (NBAA) watarudia mitihani hiyo baada ya kufanya VIBAYA mitihani hiyo iliyofanyika Novemba mwaka huu.
Watahiniwa 703 sawa na 18.2% ndio waliofaulu, watahiniwa 1818 sawa na 47% hawakufaulu.
Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA, Pius Maneno alisema watahiniwa 188 wamefaulu mtihani wa shahada ya juu ya Uhasibu nchini CPA, idadi hiyo inafanya watahiwa waliofaulu mitihani ya CPA mpaka sasa kufikia 4323 tangu kuanzishwa kwa mitihani hiyo mwaka 1975.

Source by Mwananchi.
 
Duh! Yaani katika miaka 37 tangu kuanzishwa mitihani ya CPA waliofaulu mitihani ya CPA ni 4323 tu! au sawa na wanafunzi 116.84 kwa mwaka!!! Idadi ndogo sana hasa ukitilia maanani upungufu mkubwa wa wahasibu ambao unaikabili nchi.

[FONT=century
gothic]Duh! Yaani katika miaka 37 tangu kuanzishwa mitihani ya
CPA waliofaulu mitihani ya CPA ni 4323 tu! au sawa na wanafunzi 116.84
kwa mwaka!!! Idadi ndogo sana hasa ukitilia maanani upungufu mkubwa wa
wahasibu ambao unaikabili nchi.
[/FONT]

Ni ukiritimba tu ndio unaisumbua nbaa, wenzao wa sheria wameshabadilika...
 
Duh! Yaani katika miaka 37 tangu kuanzishwa mitihani ya CPA waliofaulu mitihani ya CPA ni 4323 tu! au sawa na wanafunzi 116.84 kwa mwaka!!! Idadi ndogo sana hasa ukitilia maanani upungufu mkubwa wa wahasibu ambao unaikabili nchi.

upungufu upi unaouzungumzia mkuu? Mbona kuna lundo la wahasibu mtaani?
 
Duh! Yaani katika miaka 37 tangu kuanzishwa mitihani ya CPA waliofaulu mitihani ya CPA ni 4323 tu! au sawa na wanafunzi 116.84 kwa mwaka!!! Idadi ndogo sana hasa ukitilia maanani upungufu mkubwa wa wahasibu ambao unaikabili nchi.

..., mkuu tusisahau na wahimu wa CPA waliofariki tangia wakati huo!
 
Nadhani idadi hiyo imewaweka wafu pia ambao wameshatangulia mbele ya haki.

..., mkuu tusisahau na wahimu wa CPA waliofariki tangia wakati huo!
 
kama kweli hizi takwimu zina ukweli ndani yake, itabidi hadi huku kwetu kwenye elimu nako kuwe kuna board ya kuwatungia waalimu mitihani ili angalau tuondoe hawa abrubakacha kwenye elimu.
 
Wanafunzi 1332 kati ya 3853 waliofanya mitihani ya Bodi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu nchini (NBAA) watarudia mitihani hiyo baada ya kufanya VIBAYA mitihani hiyo iliyofanyika Novemba mwaka huu.
Watahiniwa 703 sawa na 18.2% ndio waliofaulu, watahiniwa 1818 sawa na 47% hawakufaulu.
Mkurugenzi Mtendaji wa NBAA, Pius Maneno alisema watahiniwa 188 wamefaulu mtihani wa shahada ya juu ya Uhasibu nchini CPA, idadi hiyo inafanya watahiwa waliofaulu mitihani ya CPA mpaka sasa kufikia 4323 tangu kuanzishwa kwa mitihani hiyo mwaka 1975.

Source by Mwananchi.

dah!! 3853 - 1332 = 2521. Hay kazi ipo je ukitoa tena idadi kama hiyo??? tuone 2521 - 1332 = 1189........down, very down, down again..........Chanzo cha kufeli kilichunguzwa kuwa ni nini? Ningekuwa miongoni mwa hao waliofeli halafu narudi home, mapokezi ya Thanda yangekuwa mazuri ila yenye wingi wa msisitizo wa "Mama Hanny mke wangu, nakupenda sana lakini kwa hili..mmmmmmmh, lazima urudie. ( Kidding dad)

tatizo roho mbaya ndio inafanya haya yote so mwaka huu walitakiwa 188 tu na sio 200
 
kama kweli hizi takwimu zina ukweli ndani yake, itabidi hadi huku kwetu kwenye elimu nako kuwe kuna board ya kuwatungia waalimu mitihani ili angalau tuondoe hawa abrubakacha kwenye elimu.

haswa kama Sayansi, mtu anatoka Chuo Kikuu hawezi ku set practical.
 
nilikuwa na mpango wa kusoma ila kwa hilo nahairisha du! 4323 since 1975!??????
 
Back
Top Bottom