Wataje members watatu unayetamani kukutana nao

Thanks mrembo, mie ni kizee kweli sema Mahaba ndo yananifanya nionekane mdogoo ila umri ushaenda.

Usijali, panapo uzima na Rehema za Allah tutaonana tuu.
 
Ameeen i can't wait hiyo siku namuona the real Kasie, kabinti kadogoo wala si kibibi kumbe.😛
 
Ni powa kabisaa bibi....
Nafurahi kukuona Mungu akutunze...
sema am in love na hiyo avatar yako...

cheers🥂

Aamiiin...!!

Aahahahahaaa avatar wee ifanye tuu screen seva yako popote pale kwenye simu Au kompyuta.

Na ikikukosha zaidi uwe unaibusu kila ukiamka na kabla ya kulala.

Mie huku ntakuwa nabarikiwa na kuzidi kuwa kijana badala ya kuzeeka.
 
Bibi hili litakuwa limbwata la online😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…