Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
How i wish to meet these people.
1) Kasie mahaba- napenda stories zake huwa naenjoy, pia anasemaga yeye ni bibi ila nahisi ni kabinti tu anatuzuga.
2) Masterplan - Plans master
3) Kichwa Kichafu- ana madini fulani hivi afu alikuaga babe ila kaniacha
4) SHIMBA YA BUYENZE - Salimet afu huwa nahisi si mbongo huyu
5) Sky Eclat - Doctor herself na ana madini fulani ya afya muhimu
6) miminimkulimaakachekasana - nahisi nikimuona tu ntaanza kucheka hili jina
7) Paula Paul -lazima ni mtoto wa kishua huyu,napenda English yake😍
Na wengineo kibao, ingewezekana siku tuonane wote tu tupige mastories mpaka basi, usiku mwemaa.
Thanks mrembo, mie ni kizee kweli sema Mahaba ndo yananifanya nionekane mdogoo ila umri ushaenda.
Usijali, panapo uzima na Rehema za Allah tutaonana tuu.