Wataje members watatu unayetamani kukutana nao

Wataje members watatu unayetamani kukutana nao

Nimekuuliza pale juu, unakuja kuni- seduce?? Unaruka maswali kama mtihani wa taifa sio?? Kwamba start with simple questions first??

Anyway, nitume kwenye account ya equity au tigopesa???
Yah tunaanzia marahisi, then magumu yanabaki mwishoni. Nakuja ndio kuku'seduce 😁😁

Ac ya tigopesa tu, si ndio rahisi au?
 
Mmmh hamna namna goja nikojoe nikalale😣😣
Inamaana ni kweli hamna wa kunitag humu🤔🤔


Nikirudi nawatag wote kwa hasira😬😬, hasahasa wale walio wahi kunifurusha pm😂😂😂
 
Back
Top Bottom