Umeambiwa watatu. π then Ginger ale hairuhusiwimtu chake
Mjep
T 1990 ELY
Extrovert basta mzee wa kufoka foka
Behaviourist mzee wa vyuku..
Shadeeya
Iceberg9 jirani yangu sijakutaja ili nikuone...basi tu ili nikukoseshe amaniππ
Nitarudi Kwa kishindo
Wapi nimesema unatembea na uzi..?Kwahiyo ndio umeona ni mimi ninae tembea na uzi?
Leo usiku napiga desh...
niko hapaMuislam wangu popote ulipo nataka kukuona tena[emoji8][emoji8]
Sasa kwanini ukanitag mimi kwenye comment ya yule jamaa?Wapi nimesema unatembea na uzi..?
Desh ya wapi wakati unamkonyagi na makande..π nyie ndio mnatuleteaga magonjwa mtambuka..π€£
Na ulivyolikomalia nashuku zaidi the ujumbe ze kuhusu..kwa maoni yangu lkn ila bwana aseme naweπSasa kwanini ukanitag mimi kwenye comment ya yule jamaa?
Makande nimekula mchana, jioni nikashushia na safari 4 za baridi. Usiku huku nakula matokeo ya EPL tu
Kuna old zaidi yako na watu hawaogopi.. by the way kuonana nawe itakuwa ni kutafuta changamoto hivyo don't worry I can tag you sincerely..πSijawahi kutamani kuonana na member humu face to face
Angalizo, mimi ni old member msitishwe na joining date[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We Kenzy familia yako nzima ipo humu, hebu pambana nayo kwanza, nimekwambia mimi ni member humu zaidi ya miaka 10Kuna old zaidi yako na watu hawaogopi.. by the way kuonana nawe itakuwa ni kutafuta changamoto hivyo don't worry I can tag you sincerely..[emoji12]
Sawa braza πππ
Bwana atanipigania ππNa ulivyolikomalia nashuku zaidi the ujumbe ze kuhusu..kwa maoni yangu lkn ila bwana aseme naweπ
Hongera kwa hilo mixer ila ktk harakati za uendeshaji sijui kesho utaanzia mbagala au jangwani nalo pia bwana aseme nawe..π€£
Okay yaishe usije nikata mitama bure maana ushaanza mpk kutaja familia utakuja mizimu..πWe Kenzy familia yako nzima ipo humu, hebu pambana nayo kwanza, nimekwambia mimi ni member humu zaidi ya miaka 10
Nakusihi hivi sasa shika Bible Anza kuimba kale kawimbo "tendaa muujiza...πΆπΆπΆBwana atanipigania ππ
Kesho naanzia Bunju kuja Makumbusho