Wataje members watatu unayetamani kukutana nao

Wataje members watatu unayetamani kukutana nao

Wapi nimesema unatembea na uzi..?

Desh ya wapi wakati unamkonyagi na makande..😂 nyie ndio mnatuleteaga magonjwa mtambuka..🤣
Sasa kwanini ukanitag mimi kwenye comment ya yule jamaa?

Makande nimekula mchana, jioni nikashushia na safari 4 za baridi. Usiku huku nakula matokeo ya EPL tu
 
Sasa kwanini ukanitag mimi kwenye comment ya yule jamaa?

Makande nimekula mchana, jioni nikashushia na safari 4 za baridi. Usiku huku nakula matokeo ya EPL tu
Na ulivyolikomalia nashuku zaidi the ujumbe ze kuhusu..kwa maoni yangu lkn ila bwana aseme nawe😂

Hongera kwa hilo mixer ila ktk harakati za uendeshaji sijui kesho utaanzia mbagala au jangwani nalo pia bwana aseme nawe..🤣
 
Sijawahi kutamani kuonana na member humu face to face

Angalizo, mimi ni old member msitishwe na joining date[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna old zaidi yako na watu hawaogopi.. by the way kuonana nawe itakuwa ni kutafuta changamoto hivyo don't worry I can tag you sincerely..😜
 
Kuna old zaidi yako na watu hawaogopi.. by the way kuonana nawe itakuwa ni kutafuta changamoto hivyo don't worry I can tag you sincerely..[emoji12]
We Kenzy familia yako nzima ipo humu, hebu pambana nayo kwanza, nimekwambia mimi ni member humu zaidi ya miaka 10
 
Na ulivyolikomalia nashuku zaidi the ujumbe ze kuhusu..kwa maoni yangu lkn ila bwana aseme nawe😂

Hongera kwa hilo mixer ila ktk harakati za uendeshaji sijui kesho utaanzia mbagala au jangwani nalo pia bwana aseme nawe..🤣
Bwana atanipigania 😀😀

Kesho naanzia Bunju kuja Makumbusho
 
Back
Top Bottom