uongo utakusaidia nini ?ni mwanaume huyo tena rafiki yangu sana..!
Hebu kanyooshe kitenge cha kesho kanisani 😀😀
Short&clear
😅😅😅😅😅naona umeamua kujipa moyo😁😁Sijamwambia. Na sahii ameshalewa ganger ale huyo hata njia ya huko PM haioni 😀😀
Nimeshaslimu kama Ben pol kitambo sana ujue 🤣🤣Hebu kanyooshe kitenge cha kesho kanisani 😀😀
Fyuuu 😆😆😆
uongo utakusaidia nini ?
King'ang'anizi wewe 😆😆 kaone kwanza😅😅😅😅😅naona umeamua kujipa moyo😁😁
Huyo namsagia juice moja matata sana au bavari baridi kabisa😅😅lazima ginger ale ikate😆
King’ang’anizi kama kupe😅😅unamjua kupe wewe ehee huyo huyo😆😆sifaiKing'ang'anizi wewe 😆😆 kaone kwanza
mmhh.. tatizo nyota..Sio wewe mkuu[emoji28][emoji28]
akipita mitaa hii na kuiona hiyo code hapo..atatabasamu sana
🙏🏾How i wish to meet these people.
1) Kasie mahaba- napenda stories zake huwa naenjoy, pia anasemaga yeye ni bibi ila nahisi ni kabinti tu anatuzuga.
2) Masterplan - Plans master
3) Kichwa Kichafu- ana madini fulani hivi afu alikuaga babe ila kaniacha
4) SHIMBA YA BUYENZE - Salimet afu huwa nahisi si mbongo huyu
5) Sky Eclat - Doctor herself na ana madini fulani ya afya muhimu
6) miminimkulimaakachekasana - nahisi nikimuona tu ntaanza kucheka hili jina
7) Paula Paul -lazima ni mtoto wa kishua huyu,napenda English yake😍
Na wengineo kibao, ingewezekana siku tuonane wote tu tupige mastories mpaka basi, usiku mwemaa.