Wataje members watatu unayetamani kukutana nao

Wataje members watatu unayetamani kukutana nao

Nakusihi hivi sasa shika Bible Anza kuimba kale kawimbo "tendaa muujiza...🎶🎶🎶
Sahivi nikishika Bible natafuta ilipo mistari ya " Mary's boy child Jesus Christ was born on Christmas Day
And man will live for evermore because of Christmas Day
Long time ago in Bethlehem, so the Holy Bible said....
 
I like it ntaimba nawe ila kwa hizo Safari najua utakuwa ukinibadilikia na kuweka vibwagizo mara "WAAH" au "Asa inama hebu pinda mgongo!"😂
Kwa jinsi nilivyoshababi nami nakubadilikia naanza "we dada unatoa hutoi!!"🤣🤣
 
Aaahahahhahaa uthiku mwema, wahi kulala kesho uko zamu ya kuhesabu sadaka ibada ya kwanza.
Na ndio ntakuwa wakwanza kutia guu langu kwenye kiti kirefu sadaka nayo hela..🤣
 
Back
Top Bottom