Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣 Uchiku mwemaWe Hennessey kweli aisee 😀😀
Na ndio ntakuwa wakwanza kutia guu langu kwenye kiti kirefu sadaka nayo hela..🤣
😎
Braza kaka toa miwani kwanza tubonge😎
Nakusikiliza dada..😃Braza kaka toa miwani kwanza tubonge
Tulia wewe wacha tule maisha..🤣Weeweeeh, ntawaambia ustaafishwe tuu uzee wa kanisa khaa.!!
Sasa kipi kimekufanya uiache ile I'd yako kongwe..?Mshana Jr mbona mmekutana sanaa sema unakuwa umefumba macho tu..
Alooo!!! mi nimejificha uku nguvu maliniko tangaa hihii
Nina Id moja tu mkuuSasa kipi kimekufanya uiache ile I'd yako kongwe..?
OkayNina Id moja tu mkuu
Fyuuu 😆😆😆
Kuna siafu huko usiende tafadhaliFungua pm tafadhali
Sawa mkuu.