Wataje(mtaje) rafiki zako wa humu jukwaani

Wataje(mtaje) rafiki zako wa humu jukwaani

Kama ni hivyo, HUNA RAFIKI! Unahitaji rafiki anayekwambia ukweli hata kama utakuumiza siyo anayekusema vizuri tu!

Tafuta rafiki mkuu!
Sijawahi pata marafiki wa kunificha jambo kama nimekosea lazima waniseme wanichane
 
Back
Top Bottom