Muambie mi shemeji yakeSio kweli....mdogowangu huyo mama mmoja matumbo mawili [emoji855][emoji855]
Haya bhana๐๐๐๐Muambie mi shemeji yake
umependeza, nimependa viatu vyako binti yanguKumbe watu mmeshibana humu na hamsemi๐๐๐ค
Thank you uncle ๐ฅฐ๐คumependeza, nimependa viatu vyako binti yangu
Sijawahi pata marafiki wa kunificha jambo kama nimekosea lazima waniseme wanichaneKama ni hivyo, HUNA RAFIKI! Unahitaji rafiki anayekwambia ukweli hata kama utakuumiza siyo anayekusema vizuri tu!
Tafuta rafiki mkuu!
Hata mienakukubali sana binti maua
Me sijasema unanishindwa jamani ๐๐๐kwamba nakushindwa kweli wewe?
dharau hizi๐คฃ
unakunywa soda gani mwananguThank you uncle ๐ฅฐ๐ค
Acha nimuwahi kesho naleta posaHaya bhana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa nakuaje mdogo wako wakati nakuweza[emoji23]
Nishaandaa zawadi zakoNakuja[emoji1]
Yoghurt nakunywa uncle ๐๐๐unakunywa soda gani mwanangu
Hahahah๐๐๐๐sasa nakuaje mdogo wako wakati nakuweza๐
Sawasawa ๐ค๐คAcha nimuwahi kesho naleta posa
Fanya yale maelekezoSawasawa [emoji847][emoji847]
Nimekwambia nipe namba hutakiFanya yale maelekezo
Yupi huyo ๐๐๐huyo ndo wewe?๐
yani sijui niweke nini saiz...nitumie picha yako basi nikuweke mdogo wangu โบ๏ธโบ๏ธhuyo kwenye avatar, mtoto mwembamba, mtoto 1GB unakula na mifupa๐