Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Rafiki zako wapo Kremlin wanatega vilipuzi kwa ma-spies wa MI6.Wote humu mabeste zangu isipokuwa mimi hapa. Adui yangu mkubwa ni mimi
Ahsante sana my friend nimefurahi kuitwa hapa
May God bless you πππAhsante sana my friend nimefurahi kuitwa hapa
Sina mawazo hasi banaa..!!π€£π€£π€£Pole Kwa mawazo hasiπ₯΄
Hao watu ni watu muhimu mpaka nje ya jf....nielewe ivo please.... pleaseSina mawazo hasi banaa..!!
Mekuelewa banaaHao watu ni watu muhimu mpaka nje ya jf....nielewe ivo please.... please
Yeah,ila ndani ya jf kilamtu ni muhimu kwanguβ₯οΈπMekuelewa banaa
We unanijumlisha kiana ujuwe..!!Yeah,ila ndani ya jf kilamtu ni muhimu kwanguβ₯οΈπ
π€£π€£Uko poa sana KalumbuWe unanijumlisha kiana ujuwe..!!
πππ Nakupendaga pia....unajuaEvelyn Salt nampendaga huyu mtu jamani....nisipoona comment zake huwa roho haitulii natamani kumpm, "are you ok"
Cute Wife she is crazyπ€£π€£π€£
Antonnia cha upole nampendaga tu.
Wako wapi tena
Nakupenda pia Mamy K wee ndo mchizi wangu in nako 2 nako soldier voice π€ΈββοΈπ€ΈββοΈEvelyn Salt nampendaga huyu mtu jamani....nisipoona comment zake huwa roho haitulii natamani kumpm, "are you ok"
Cute Wife she is crazyπ€£π€£π€£
Antonnia cha upole nampendaga tu.
Kumbe watu mmeshibana humu na hamsemi[emoji2][emoji2][emoji848]
Kwakweli ππ... na mimi ngoja nitafute wa kushibana naeππTunapitwa na mengi aiseeee
@mshamba_hachekwi na kunipiga mkwara kote ushakanwa hapaKwakweli [emoji2][emoji2]... na mimi ngoja nitafute wa kushobana nae[emoji854][emoji854]
Kwanin wanadamu hampendi kuniona nikifurahi jamani πππππ€π€@mshamba_hachekwi na kunipiga mkwara kote ushakanwa hapa
Anataka kunipokonya tonge mdomoniKwanin wanadamu hampendi kuniona nikifurahi jamani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji855][emoji848]
Ngoja nikufikirieTutatafuta wote
Sio kweli....mdogowangu huyo mama mmoja matumbo mawili π€π€Anataka kunipokonya tonge mdomoni