🤣hujatajwa wewe😂 acha wivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣hujatajwa wewe😂 acha wivu
Nimechoka sana hii wiki.hujatajwa wewe😂 acha wivu
chezea fundamental analysis weweNimechoka sana hii wiki.
Oyaa...hii wiki ni vichekesho huwezi amini yaani unaamka saa tisa usiku umsikilizie Gavana wa Benki anaongeza rates unakuta anaongeaongea tu. Sema watu wamepigwa za uso wiki hii hawasemi.chezea fundamental analysis wewe
naona US kuna inflation ya kibabe🤣 mnayo kaziOyaa...hii wiki ni vichekesho huwezi amini yaani unaamka saa tisa usiku umsikilizie Gavana wa Benki anaongeza rates unakuta anaongeaongea tu. Sema watu wamepigwa za uso wiki hii hawasemi.
Sema Wana data nzuri za ajira. Dollar ina nguvu sana ni kusell Eurodollar.naona US kuna inflation ya kibabe🤣 mnayo kazi
sema mzee una bahati.... ni kama infinite money glitch yaani😂Sema Wana data nzuri za ajira. Dollar ina nguvu sana ni kusell Eurodollar.
Niko hapa mchumba wako halali kabisaNatafuta mchumba....
Noma, yaani hapa mi sielewi.sema mzee una bahati.... ni kama infinite money glitch yaani😂
chukua vacay na mtoto Leejay49 hutojutia😂Noma, yaani hapa mi sielewi.
Ila ngoja tuone, Chinese exports news plus inflation inazishusha eurodollar vibaya mno plus Ukraine war ni kivumbi.
Ngoja kwanza mambo hayajakaa sawa.chukua vacay na mtoto Leejay49 hutojutia😂
Wa pili niko hapaUkipata wawili nipe mmoja
😂😂😂😂 shem km shemWa pili niko hapa
Nimepatikana
Shem mchumba umepata😂😂😂😂 shem km shem
Shem mchumba umepata
Ukihitaji na kifungashio kipo
Kazi kwako shem
Kifungashio ni mwanafunzi wangu mshamba_hachekwi 🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah! Mpk kifungashio kipo??!!
Kifungashio ni mwanafunzi wangu mshamba_hachekwi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kifungashio ndo kinini😂Kifungashio ni mwanafunzi wangu mshamba_hachekwi 🤣🤣🤣