Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
- #301
Mie mchezo wangu wa mwisho kabisa kabisa alilazwa selian kwa kuzimianjoo ewe chapu mifuko imetuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie mchezo wangu wa mwisho kabisa kabisa alilazwa selian kwa kuzimianjoo ewe chapu mifuko imetuna
Aisee hii kali hebu njoo hukuI miss you ❤️😘🌹
napenda mashindano yaani kama motor gp na marquez.Mie mchezo wangu wa mwisho kabisa kabisa alilazwa selian kwa kuzimia
Hata yeye alisema hivyoonapenda mashindano yaani ni motor gp[marquez]
napenda kujiamin kwake ila alitishia nyau mimi ndio level ya juu zaidi, nliamisha mtu sombetini soko mjinga😀Hata yeye alisema hivyoo
Njoo huku ai hadi niseme kila kitunapenda kujiamin kwake ila alitishia nyau mimi ndio level ya juu zaidi, nliamisha mtu sombetini soko mjinga😀
haaha nlipita mitaa ile njia imefungwa njia hawapendi majirani kama dp worldNjoo huku ai hadi niseme kila kitu
DP world ??haaha mitaa ile umefunga njia hupendi majirani kama dp world
funguo umetupilia wapi natafuta sizioniDP world ??
Pale uwanifunguo umetupilia wapi natafuta sizioni
Wangu una 14k views🤒😂🤣Intelligent businessman ulisemaje uzi hauendi
ngoja nifunue pale chini ya dekio huenda ntakuta au ni kwenye ile ndoo yenye ua? 😀 😀Pale uwani
Ehngoja nifunue pale chini ya dekio huenda ntakuta au ni kwenye ile ndoo yenye ua? 😀 😀
sijuona bwana utakuwa umesahau ukaenda nao.
Hapanasijuona bwana utakuwa umesahau ukaenda nao.
ngoja nitafute au uko ndani 😎Hapana
😊😊 wewe tena, ukisema lolote nafata tu..Aisee hii kali hebu njoo huku