Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

Maskini, labda baada ya hapo alikua anajishtukia hatari, yani mtu mnajuana toka utotoni na bado dyudyu limekutisha je hao wa kukutana ukubwani itakuwaje.

Inaonekana basi umble lilizidi, hata ningekua mimi ningemtafutia sababu, nani anataka kuchanika 😂
 
sitasahau mwl mkuu akanituma nikamwite mwl kwake niktoka spidi mbio nakuta mwl kakunjwa sebuleni na mratibu akipelekewa moto
 
Lazima, lakini nakuomba umpotezee huyo dada huenda penzi limemkolea anashindwa kujizuia! Mapenzi huwa yana nguvu sana..
Aaah wapi tupo tuna endelea kwa uzi mwingine ila saivi nimeamua kumtia moyo tu 😎
 
Lazima, lakini nakuomba umpotezee huyo dada huenda penzi limemkolea anashindwa kujizuia! Mapenzi huwa yana nguvu sana..
Ila wanaume wabaya sa kama mwanaume yupo humu si angemtuliza jamani😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…