Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

1. Kale kaulimi ambako wamaasai wanakaondoa.
 
Hiyo ni hatari watu wanauanaga kisa wanaume!
Halafu anajidai ni issu nyingine akiulizwa aitaje hataki
Mtu mwenyewe nipo single nalala kama panga anatokea kichaa na kunitwisha scandal za kiwaki 🙌

NB siwezi kugombea uboo mimi 🚮🚮🚮🚮
 
Halafu anajidai ni issu nyingine akiulizwa aitaje hataki
Mtu mwenyewe nipo single nalala kama panga anatokea kichaa na kunitwisha scandal za kiwaki 🙌

NB siwezi kugombea uboo mimi 🚮🚮🚮🚮
Hahahah pole !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…