MANAGER DOCTOR WENGER
JF-Expert Member
- Jan 3, 2026
- 202
- 304
Faida ni nyingi sana, club yangu inapo shinda, napata furaha, nikiwa na furaha, inasaidia ku neutralize mambo mnalimbali mfano, kama imetokea amenikera kama ilivo ada ya mahusiano, club yangu ikishinda Ile furaha inanifanya nasahau au nasamehe makosa ya mke wangu ambapo pengine tungeishia kugombana, nimekupa Hilo tu nayo mengi sanaKwahiyo kama leo mamelodi wameshinda huyo mpenzi wako naye anafaidika vipi?
Yeah, ni mwendo wa kumshtukiza.Daah kwahiyo untaka alainike kwanza kabla ya sapraizi 🍆😂🙌
Mtoto unampa vitu moto moto mpaka atakuwa anakuwaza kila saa unampaa mapenz ya kwelVya uswahilini ndiyo vikoje hivyo?
Kwani ambao si wa uswahilini wao hawana mapenzi ya kweli?Mtoto unampa vitu moto moto mpaka atakuwa anakuwaza kila saa unampaa mapenz ya kwel
duh! mwanaume aliyekupata amepata bahati kwa uhakika hawezi chepuka kulngana na maufund ulionao nashuku utakuwa mswahil au mnzazibarHapo kwenye vijana kujifunzia kukwea minazi kwenye ng'ombe hapo, hebu nidadavulie.
Nilishawahi kusikia mmasai anasema ng'ombe jike wana harufu tamu, sikumuelewa, kumbe inawezekana ..........
Inapendeza sana 🙌 🔥 🔥Faida ni nyingi sana, club yangu inapo shinda, napata furaha, nikiwa na furaha, inasaidia ku neutralize mambo mnalimbali mfano, kama imetokea amenikera kama ilivo ada ya mahusiano, club yangu ikishinda Ile furaha inanifanya nasahau au nasamehe makosa ya mke wangu ambapo pengine tungeishia kugombana, nimekupa Hilo tu nayo mengi sana mkuu
wanayo ila hawana ujuz kama waswahilKwani ambao si wa uswahilini wao hawana mapenzi ya kweli?
Na mapenzi ya huko uswahilini yana vionjo gani vya tofauti?
Mume afungwa ukanga, analetewe chakula chumbani, analia kwenye .............duh! mwanaume aliyekupata amepata bahati kwa uhakika hawezi chepuka kulngana na maufund ulionao nashuku utakuwa mswahil au mnzazibar
Mume afungwa ukanga, analetewe chakula chumbani, analia kwenye .............
Watu wa .................i mtatuweza
Wa uswahilini mna ujuzi gani?wanayo ila hawana ujuz kama waswahil
Bro mbona umekua nadra sana 😂🙄🙄🙄🙄🙄 nachoka bro wenu nachokaa
Siyo poa 😂Yeah, ni mwendo wa kumshtukiza.
Nipo bro nipo, nakua busy tu na kucheza golf na wazee wenzangu.Bro mbona umekua nadra sana 😂
Si nilikuambia nipo busy na dubwi!!
Achana na dubwi njoo kwenye golf ulenge kishimo bila papara, mchezo wa kitajiri.Si nilikuambia nipo busy na dubwi!!
Kishimo cha golf ni kidogo, kwa macho yangu sidhani kama nitalengaAchana na dubwi njoo kwenye golf ulenge kishimo bila papara, mchezo wa kitajiri.
Mshauri anywe old wine 😃Mnikaribishe na mimi mzee mwenzenu nitoe ushamba.
Wakina Eroni wanafukuzia vigoli humu na vigoli wenyewe mambo mengi wananyukana kwenye nyuzi.
Ni mitifuano tu 😂
Ameuona ushauriMshauri anywe old wine 😃