Wataka mambo hautayaweza😉 - karibu tuzogoe!

Wewe mbona hujui vingi kuanzia huyo Mbaga Jr na Poor Brain wote wadogo zangu 😁😁 humu nina kijiji cha ndugu
Jana si ulisema ndugu wote unataka kuwaonja 😆

Ali kamwe😅😅😅
Semajii, kumbe ndiyo huyo 😂

Kwa sababu yeye ananijua personal, tofaut Na wngn mnavyonijua humu
Wewe unataka nikusanyiwe mafile humu, siku moja wajuaji waje kusema nakujua sababu nilionja chururu yako, akuuu sitaki.
 
Wee lilikuwa umbile jamani khaa watu wana maumbile 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…