ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Babu unaweza kuchimbua kisima mpka tupate maji kweliKweli vijana wanafaidi, kumbe hadi kilimo cha umwagiliaji kinafanyika😋😋
Nimebadili kijiwe.. nimeambiwa umehama ulipokuwa awali bossBoda mbona siku hizi sikuoni kijiweni?
😂 😂 Ngoja kabinti kakupandishe kisukari kidogoHatukubali hadi tufie kwenye vinena 😂
Aaaanh mimi kukumbushia sitakiSiku moja moja inapendeza kukumbushia enzi....Vya kale dhahabu 😜
Atakuletea, msemeshe mjukuu vizuri akupe mambo babu urudishwe ujanani 😂Hahaha..........ataweza kuniletea kiko? 😂
Ohooooo alisema ndio na mwandiko wangu haujabadilika hehehehNa sio tu kufananishwa, mtu anatumia nguvu kubwa kujiaminisha wewe ni mimi, mimi ni wewe? Na matusi juu? Vitisho? What for?
Au sababu tunaandika good writting? Me sioni sababu nyingine wallah..
Ukiandika comment inanyooka hiviii rula ikasome 😆 space inazingatiwa, aya zipo na alama za mikato ziko on point 👌
Mjukuu wa Mwandambo nimechokaaa🔥
Kuna mahali nilisemwa mimi na huyo huyo dada ako ati nme team up na Binti wa Zamani. Wakati huyo dada simjuiii ni ile mwanzoni wakati anaandika nyuzi alikuwa ananimention najitokeza kucomment..
Ah bana.. masaa yanakaribia ya Rosary
Wacha niende
Vidole visije kuteleza nikajikuta naandika ma
Paragraph hapa, nikakosana na Malaika mlinzi wangu 🔥🔥
Tatizo binti umetia 🔒🔒 kila sehemu 🤭Weuweee🔥🔥🔥
Kweli vijana wanafaidi 😋Babu unaweza kuchimbua kisima mpka tupate maji kweli
Au unapendelea kilimo cha bamia tupate mrenda mrenda 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Mbona hakuna lock hebu jaribu kusukuma uone🤣Tatizo binti umetia 🔒🔒 kila sehemu 🤭
Umehama bila kuniambia 🥺🥺🥹, sasa vimizigo vyangu nani atakua ananiletea?Nimebadili kijiwe.. nimeambiwa umehama ulipokuwa awali boss
Hebu tafuna pipi kifua then puliza kwenye kicwa huo ubaridi wake kikohozi kilichotokana na kiko lazima final kitiiiii✅️Kweli vijana wanafaidi 😋
Umefanya nitembee mkono nikiweka mfukoni kukwepa aibu ndogondogo
Jembe langu ni la mwaka 47, nalimia tifutifu, kichanga hata kwenye mfinyanzi
Koh koh koh......kiko hii ya leo itaniua sio kwa ukali huu 😊
Wananiita ndege ya ardhini.. namba yangu ni ileile nipigie nitakuwa hapo boss wangu.Umehama bila kuniambia 🥺🥺🥹, sasa vimizigo vyangu nani atakua ananiletea?
Kuna haja nitembee na dawa zangu za kisukari, nilimsikia sehemu akisema hajazoea round moja ya sekunde 29, anasema hadi cheche ziwake.....naona dalili ya kushindwa pambano 😜😂 😂 Ngoja kabinti kakupandishe kisukari kidogo
Kuwa na huruma na wazee mjukuu 😊Aaaanh mimi kukumbushia sitaki
Hapa naelekea atm, huenda ugonjwa wangu wa baridi leo ukaondoka 😋Atakuletea, msemeshe mjukuu vizuri akupe mambo babu urudishwe ujanani 😂
Hailijaisha mpaka likiisha 😂Nitaiunganisha usijali..!!
Hili bana haliwezi kuisha hivi hivi, kwanza kuna screenshot nimepewa nasikia ulikanywa kunikwoti lamomy.. Huyo fake yeye km nani akukanye kuhusu mimi??
Yani Fake P njoo hapa utoe maelezo vizuri kilikuuma nini mpk ukatoa ushauri??
Hili nnalo coz mmenitaja na mnipe maelezo wote..!!
Nipitishie kiko nyingine mjukuu, si unajua baridi ni kali 😂Hebu tafuna pipi kifua then puliza kwenye kicwa huo ubaridi wake kikohozi kilichotokana na kiko lazima final kitiiiii✅️
Eti, kwamba nini 😂?? kumbe wengi tunatajwa bila kujijua 😂Kuna mahali nilisemwa mimi na huyo huyo dada ako ati nme team up na Binti wa Zamani. Wakati huyo dada simjuiii ni ile mwanzoni wakati anaandika nyuzi alikuwa ananimention najitokeza kucomment..
Hapana kwa kweli, wanawake matured ni watam sana mkuu. Aliyezaliwa miaka 34 iliyopota kurudi nyuma hanifai.Wewe hutaki kurudishwa ujanani, nasikia vibinti vya alfu 2 vinaku time travelisha, utendaji kazi wa zana yako unakua renewed.
Kikohozi hakijapona unataka kiko tena 🤣 kwanza umejaribu kupulizia upepo & ubaridi wa hiyo pipi🤣Nipitishie kiko nyingine mjukuu, si unajua baridi ni kali 😂
Mimi na bibi yako tunakukumbuka sana mjukuu
Najaribu, siwezi kuingia PM 😂 😂Mbona hakuna lock hebu jaribu kusukuma uone🤣
Hata akifa, ata-die with a smile 😂😂😂Hebu tafuna pipi kifua then puliza kwenye kicwa huo ubaridi wake kikohozi kilichotokana na kiko lazima final kitiiiii✅️
KumekuchaHapana kwa kweli, wanawake matured ni watam sana mkuu. Aliyezaliwa miaka 34 iliyopota kurudi nyuma hanifai.
Huruma sio malezi ni kupeleka 🔥🔥Hata akifa, ata-die with a smile 😂😂😂
Kanyaga mafuta, huruma atapewa kwa mkewe bibi yetu 😂