Kaka wa Dep_AL
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 711
- 1,113
Hawana ubinadamu hawana aibu hawana maana. Mzazi na mambo ya jf anaingiaje? Mara aseme kwao pa kawaida, walitaka ajenge ghorofa? Yeye fake p kwao kuna ghorofa?Mahi niache 😂
Wanasema usimpige teke mtu ambaye tayari yuko chini (Don't kick someone when they're down).
Hata kama ana mapungufu yake, we unaona ni sawa kuanza kumtukania mzazi wake ambaye ndiyo kwanza amefariki?
Nashauri afungue nyingine au kama anauo iwe activeSijawahi kuripoti mtu, F alitangaza muda wa mechi, naona mödzz nao wakapiga kambi hapo.
Wewe una moto sana wa umbea mwanakwetu, utakuja kupigwa ban na huku 😂 😂
HehHawana ubinadamu hawana aibu hawana maana. Mzazi na mambo ya jf anaingiaje? Mara aseme kwao pa kawaida, walitaka ajenge ghorofa? Yeye fake p kwao kuna ghorofa?
Nitapoanza kuwa mnyama kama wao hawa kina fake p lamony na cocaSticc watatafuta pa kujificha. Waache waendelee na huu uzushi wao wataona hawanijui vizuri hawa
Hilo ndio nimesema halitawekana hata nukta. Nikisema huwa ninamaanisha nachosema. Hamtaweza kumzushia wala kumgusa depall. HamtawezaHakuna story za kutunga, urafiki ulianzia JF na ugomvi pia utamalizwa hapa hapa JF
Wewe ikikuuma meza wembe
Nahisi alimix mafile akajua labda ni id yako nyingine..!!We binti sayuni huachiiii😆
Sasa kwanini wakaniingiza
Kua makini na wewe nyeti zako zisianikwe 😁Nahisi alimix mafile akajua labda ni id yako nyingine..!!
Hawa mimi siwaachi ndo kwanza picha limeanza..!! 😹😹
😹😹😹🤣 Hao wake wenza mi nataka wamalizane kisha kila mmoja amuheshimu mwenzie..!!Sijawahi kuripoti mtu, F alitangaza muda wa mechi, naona mödzz nao wakapiga kambi hapo.
Wewe una moto sana wa umbea mwanakwetu, utakuja kupigwa ban na huku 😂 😂
😹😹😹 Watazikutia wapi sigawi hovyo hovyo..!!Kua makini na wewe nyeti zako zisianikwe 😁
Usishangae dada angu. Hawa hatua waliyofikia na sisi tukiifikia basi itakula kwao
Ukinitukana mimi Kuna mawili naweza kupuuzia au naweza kukukabili. Nikiamua kukukabili utapata tabu sana hilo lijue kabla mambo hayajaharibikaWewe bana huna mpya.
Sasa hivi tunasikiza wake wenza km na wewe demu wa CH sema ili tujue tukupe no ngapi uwanjani..!! 😹😹😹
Kumbe hawajui wana dili na nanUsishangae dada angu. Hawa hatua waliyofikia na sisi tukiifikia basi itakula kwao
Nimewapa onyo. Nina resources za kila aina kuweza kuwakabili lakini sijaamua kufanya hivyo siku nikiamua kufanya hivyo tusilaumiane
Hawajui wanadili na nani
Nikabili acha mikwara 😹😹Ukinitukana mimi Kuna mawili naweza kupuuzia au naweza kukukabili. Nikiamua kukukabili utapata tabu sana hilo lijue kabla mambo hayajaharibika
Bora umesema mikwara maana ikibadilika kuwa reality utapata shida. Hujui resources nilizonazo nikiamua jambo languWee nawe acha mikwara mbuzi kajambe mbelee hukooo 😹😹😹
Mngese una mikwara km robot la mbao khaaa.!! 🤣😹😹
Mikwara hiyo ingekuwa ni pesa ungekuwa na hisa nyingi sasa hivi..!! 😹😹😹Usishangae dada angu. Hawa hatua waliyofikia na sisi tukiifikia basi itakula kwao
Nimewapa onyo. Nina resources za kila aina kuweza kuwakabili lakini sijaamua kufanya hivyo siku nikiamua kufanya hivyo tusilaumiane
Hawajui wanadili na nani
Huna jipya acha mikwara.Bora umesema mikwara maana ikibadilika kuwa reality utapata shida. Hujui resources nilizonazo nikiamua jambo langu
Hii dunia ndogo Ina watu wenye uwezo mkubwa wa kufanya yale usiyotarajia. Rudia tena nilichoandika hapo juu.
Hawajui. Lakini acha twende hivyo wanavytaka alafu niamue kutumia resources zangu na nguvu zoteKumbe hawajui wana dili na nan
Ninakuonea huruma sababu sijaamua unachotaka niamue. Ipo muda utafikaHuna jipya acha mikwara.
Kawatishe wapuuzi wenzio aiseee 😹😹😹
Sawa metetee ndugu yako huo ndio uduguHawajui. Lakini acha twende hivyo wanavytaka alafu niamue kutumia resources zangu na nguvu zote
😹😹😹😹 We ujue unaanza kudata..!!Hawajui. Lakini acha twende hivyo wanavytaka alafu niamue kutumia resources zangu na nguvu zote
Wahi milembe 😹😹😹Ninakuonea huruma sababu sijaamua unachotaka niamue. Ipo muda utafika